Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,268
- 3,429
Waliteuliwa Hawajui kazi? Kwani walikuwa wanalisha misukule sirini? Mambo si yalikuwa wazi namna wanavyofanya kazi? Sasa tuambie ni kina nani walokuwa hawajui kazi tupime kazi zao kwa kinganisha na waliopo wapyaUkanda wa jpm alikuwa anapick wa kutoka huko kwao hata Kama hajui kazi