Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

Ukanda wa jpm alikuwa anapick wa kutoka huko kwao hata Kama hajui kazi
Waliteuliwa Hawajui kazi? Kwani walikuwa wanalisha misukule sirini? Mambo si yalikuwa wazi namna wanavyofanya kazi? Sasa tuambie ni kina nani walokuwa hawajui kazi tupime kazi zao kwa kinganisha na waliopo wapya
 
Mpaka kufikia uchaguzi wa 2025 umeme uwe umefika 500 per unit.tuone speed ya waziri Makamba kwa vitendo.
Asiyeweza kulipa umeme akae kiza.
 
Mama kuvuka 2025 itakuwa ngumu sana ,njia pekee ilikuwa kutumikia wananchi kwa bidii na kizalendo ila mama hataki hiyo njia hivyo kuvuka 2025 itakuwa ngumu sana
 
Sipendi lawama ndio maana tunaambiana ukweli Ili tujirekebishe na kwapamoja tukemee Yale t
yote yanayolivuruga taifa letu .
hoja uliyoona wewe Ni hisia za ukanda na si matumizi ya bilion 69.Watz hatupendi kujadili mambo yenye tija.

Tunatetea uozo kisa Ni mtu wa kwetu, au kisa Ni una marhaba na mtu fulani.
 
hoja uliyoona wewe Ni hisia za ukanda na si matumizi ya bilion 69.Watz hatupendi kujadili mambo yenye tija.

Tunatetea uozo kisa Ni mtu wa kwetu, au kisa Ni una marhaba na mtu fulani.
Good point
 
hoja uliyoona wewe Ni hisia za ukanda na si matumizi ya bilion 69.Watz hatupendi kujadili mambo yenye tija.

Tunatetea uozo kisa Ni mtu wa kwetu, au kisa Ni una marhaba na mtu fulani.
Shida watanzania unaa imetuzidi tukiushinda unaa wa viwango vya kimbunga jobo ndio itakuwa mwanzo wa taifa hili kupata maendeleo ya kweli.
 
Tumeingia pasipo petu lakini tutafika Inshallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…