Mwalimu ni moja ya vichwa adimu mno na mwenye akili sana, alijua kabisa uhuru ungechelewa sana kama tungeingia msituni. Hivi nawe unajiona ni shujaa kweli ambaye ungepambania Uhuru Kama tu unatumia jina bandia hapa JF?
Sir Robby,Upo sahihi ndio maana hata KUDAI HAKI zetu HATUWEZI tunasubiri TUPEWE kama tulivyopewa UHURU
Hizo zilikuwa resistance tu. Wale walikuwa wanapigania koo zao. Sio kupigania uhuru. Vita kama hivyo vilikuwepo kwenye maeneo mengi Afrika inapotokea kingdom fulani inavamiwa kwenye eneo la utawala wake.Kwahiyo hata MajiMaji Rebelion walikuwa wanaamini kuwa risasi za Mjerumani zitageuka Kahawa?
Kwanini wasiviite vita vya KahawaKahawa?
My point is Wapigania Uhuru wa Tanganyika sio wote walikuwa watu waoga wa kukaa kwenye vijiwe vya kahawa.
Hii mzee kusema ukweli umetupiga kamba...ingekuwa watu walikufa vasi bendera yetu ingekuwa na rangi nyekunduSir Robby,
Tatizo la watu wengi ni kuwa hawajui historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.
Damu ya Waafrika ilimwagika kabla ya TANU kuundwa.
Tarehe 1 Februari, 1950, Dockworkers Union ilifanya mgomo mkali sana ambao wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam walipambana na askari wa kuzuia fujo waliotumwa na serikali kuvunja mgomo huo na askari 19 waliuliwa.
Historia ya Dockworkers Union inaanza mwaka wa 1947 na inaishia mwaka wa 1950 baada ya mauaji hayo.
Kiongozi wa Dockworkers Union Secretary General alikuwa Abdul Sykes akiwa na umri wa miaka 25 na nafasi hiyo alipewa na Waingereza lakini alijiuzulu kupisha shinikizo la mgomo na aliyechaguliwa kushika nafasi hiyo alikuwa Erka Fiah.
Yeye aliitisha mgomo uliosababisha mauaji na chama kupigwa marufuku.
Harakati hizi za Dockworkers Union na vyama vingine vya wafanyakazi vilitumika sana katika kusukuma agenda ya TAA kudai nchi pale Abdul Sykes alipochukua uongozi wa TAA 1950 kama Secretary General akitokea Dockworkers Union.
Hii historia nimeieleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdu Sykes.
Inasikitisha sana kuwa mswada wa historia ya TANU ulioandikwa na Abdul Sykes na Dr. Wllbert Kleruu mwaka wa 1962 haujulikani uko wapi.
Hii nayo ni historia ya pekee iloyojaa mazonge mengi hadi kusababisha Abdul Sykes kujitoa katika mradi ule.
Sasa ikiwa wewe historia unayoijua ya TANU ni hii historia rasmi haya huwezi kuyajua.
View attachment 2596569
Erika Fiah
Havijawahi kutokea vita vilivyounganisha Jamii mbali mbali kama vya Majimaji.Hizo zilikuwa resistance tu. Wale walikuwa wanapigania koo zao. Sio kupigania uhuru. Vita kama hivyo vilikuwepo kwenye maeneo mengi Afrika inapotokea kingdom fulani inavamiwa kwenye eneo la utawala wake.
Nyakati...Hizo zilikuwa resistance tu. Wale walikuwa wanapigania koo zao. Sio kupigania uhuru. Vita kama hivyo vilikuwepo kwenye maeneo mengi Afrika inapotokea kingdom fulani inavamiwa kwenye eneo la utawala wake.
Mcqu...Hii mzee kusema ukweli umetupiga kamba...ingekuwa watu walikufa vasi bendera yetu ingekuwa na rangi nyekundu
Hizo zilikuwa vita vya kugombania uhuru wa maeneo Yao ya utawala. Hizo stories zimekuwa amplified na kuhusishwa na kupigania uhuru maana walikuwa wanapinga wakoloni waliovamia maeneo yao. Hakukuwepo na unity iloyokuwa na vision ya kuunganisha vita vya kupigania uhuru.Havijawahi kutokea vita vilivyounganisha Jamii mbali mbali kama vya Majimaji.
Hao ndio walikuwa freedom fighters.
Vipi Congo?Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na vijiwe vya kahawa eti ndo wapigania uhuru hao
Wako wanaosema historia ya Tanzania imechakachuliwa kwa upande mwingine nakubaliana nao ila still hata ukisoma huo upande wa uliochakachuliwa huon struggle kabisa
Madhara ya kupewa uhuru instead ya kuupigania imeleta vizazi vya watu dhaifu na waoga, ukweli ni kwamba watanzania ni waoga na waliojaa na unafki
Ukienda kwa wakenya wale uhuru waliupigania hawakupewa na hii imepelekea kushape kizazi cha kenya kwenye fikra kuliko sis watanzania, mkenya even mtu wa kawaida anajiamin na anajua haki zake na yuko kuzipigania ila mtanzania ni mwoga, mnafki na kila jambo ambalo liko ndani ya uweza wake atakuambia ana mwachia Mungu
Point hapa sio kuisifia sana Kenya hapana still wanamatatizo yao kama rushwa, ukabila, kiwango chao cha maendeleo hakija pishana sana na Tanzania, ila jambo ambalo nauhakika nalo wakenya sio mazoba kama watanzania
Hao sio mazoba kama watanzania walio wengiVipi Congo?
Vipi South Africa?
Vipi Msumbiji?
Imagine kama Mjerumani angeshindwa na kuamua kukabidhi Nchi na kukimbia.Hizo stories zimekuwa amplified na kuhusishwa na kupigania uhuru maana walikuwa wanapinga wakoloni waliovamia maeneo yao. Hakukuwepo na unity iloyokuwa na vision ya kuunganisha vita vya kupigania uhuru.
Tukirejea historia ni kwamba mjerumani hajawahi kulikimbia koloni la Tanganyika eti kwa sababu ya hizo resistance, wakoloni walikutana na resistance nyingi tena zaidi ya hiyo wakiwa katika harakati za colonisation ila ujerumani ilikuwa defeated wakati akipigana vita vya ww1&2 akapoteza makoloni yake mengi tu ikiwemo Tanganyika. Hadi pale UN trustee walipoliweka chini ya mwingereza kwa uangalizi wa kuwaachia wenyeji kujitawala.Imagine kama Mjerumani angeshindwa na kuamua kukabidhi Nchi na kukimbia.
Majimaji freedom fighters wangekubalika na Watanganyika wengine kama walivyokuwa TANU tu.
TANU lilikuwa ni group dogo tu lakini kwasababu lilikuwa likipigania uhuru kila Mtanganyika alilikubali.
Kwahiyo badala ya Nyerere huenda raisi wa kwanza angelikuwa Abdulrauf Songea Mbano au Mzee Kinjekitile Ngwale.
Majimaji freedom fighters walikuwa na vision na unity kwamba Mzungu aenda Ulaya Mwafrika aoate Uhuru.
Waliunganisha makabila mengi ya Tanganyika ili kumfukuza Mjerumani.
Tukirejea historia ni kwamba mjerumani hajawahi kulikimbia koloni la Tanganyika eti kwa sababu ya hizo resistance, wakoloni walikutana na resistance nyingi tena zaidi ya hiyo wakiwa katika harakati za colonisation ila ujerumani ilikuwa defeated wakati akipigana vita vya ww1&2 akapoteza makoloni yake mengi tu ikiwemo Tanganyika. Hadi pale UN trustee walipoliweka chini ya mwingereza kwa uangalizi wa kuwaachia wenyeji kujitawala.
Ungekuwa unanisoma vizuri kabla ya kuninukuu.
Nimekusoma. Nimekuelewa, lakini mosi usimhusishe Mungu katika fikra za kibnadamu, pili ukome kutuita mazoba (pamoja na wewe).Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na vijiwe vya kahawa eti ndo wapigania uhuru hao
Wako wanaosema historia ya Tanzania imechakachuliwa kwa upande mwingine nakubaliana nao ila still hata ukisoma huo upande wa uliochakachuliwa huon struggle kabisa
Madhara ya kupewa uhuru instead ya kuupigania imeleta vizazi vya watu dhaifu na waoga, ukweli ni kwamba watanzania ni waoga na waliojaa na unafki
Ukienda kwa wakenya wale uhuru waliupigania hawakupewa na hii imepelekea kushape kizazi cha kenya kwenye fikra kuliko sis watanzania, mkenya even mtu wa kawaida anajiamin na anajua haki zake na yuko kuzipigania ila mtanzania ni mwoga, mnafki na kila jambo ambalo liko ndani ya uweza wake atakuambia ana mwachia Mungu
Point hapa sio kuisifia sana Kenya hapana still wanamatatizo yao kama rushwa, ukabila, kiwango chao cha maendeleo hakija pishana sana na Tanzania, ila jambo ambalo nauhakika nalo wakenya sio mazoba kama watanzania
kosa kubwa kwetu nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania, ni kukubali kuitwa maskini wakati sisi, hususan Tanzania ni matajiri.Nimekusoma. Nimekuelewa, lakini mosi usimhusishe Mungu katika fikra za kibnadamu, pili ukome kutuita mazoba (pamoja na wewe).
Kwa fikra zangu (kwa sababu naamini katika uhuru wa kutoa maoni yako), kosa kubwa kwetu nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania, ni kukubali kuitwa maskini wakati sisi, hususan Tanzania ni matajiri.
Kosa la pili ni kutoamini katika brain zetu kwani RASILIMALI Kuu kuliko yote katika nchi yoyote ni BRAIN za Watu wake.
Tusiige. Nawe umekomalia Kenya. Kenya siyo Tanzania