4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Amani ya Bwana ikawe juu yenu wote wanajf kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu wakuu.
Leo Mungu amenitaka kumzungumzia uyu mzee Askofu Bagonza kumtunza kwa wivu mkubwa sana kama watanzania.
Simanishi kwamba hakuna viongozi wa dini wengine wenye kariba hii kama wazee wetu ila Mungu wenda amenitaka kuwazungumzia wote kupitia kwa mtumishi wake Askofu Bagonza .
Nimemfuatilia sana ,haina hii ya wazee na kama watumishi wa Mungu ni hazina kubwa kwa Taifa hili ki imani, kijamii n.k Mungu awatunze na nijukumu letu kama watz kuwalinda kwa wivu mkubwa sana.
Tanzania ipo na bahati kubwa sana kuwa na wazee na watumishi wa Mungu wa namna hii.
Mungu awakumbatie kama kuku akumbativyo vifaranga vyake na imekua asema Bwana