Watanzania, tumpongeze Yusuf Manji kwa kuwa mzalendo na kurudi nyumbani. Rais Samia asichelewe, amuite Ikulu wazungumze

Awaite wawekezaji wote wakubwa wazalendo aongee nao mf. Bakhresa,Manji,Dewji, zully Nanji, Gachuma,Ndagote, Rostam, Abood. Twiga ciment, nk kisha kikao kingine awaite wawekezaji wa kati kwa makundi mf viwanda, mahoteli, madini, ujenzi,mahospitali, mashule, kilimo, uvuvi, na mifugo. Baadaye awaite wafanya biashara wadogo. Hii itasaidia sana kurudisha imani.
 
Naona bashite umeingia kazini kufanya propaganda za kumchafua manji kwa his comeback makes you sick!
 
Manji kuna mkubwa alimkanyagia tu apotee kabisa nchini,kisa mambo ya mpira,halafu huyo akamsafisha hans pope ambaye nae alikimbia kiasi hadi mkuu wa takukuru kuanza kumtafuta kwa kupitia interpol,jamaa akasafishwa akarudi nchini,akalala zake central siku 1
 

Naona bashite umeingia kazini kufanya propaganda za kumchafua manji kwa his comeback makes you sick!

Wezi wote wanafahamu maeneo yao ya wizi. Huyu karudi anajua kuna mabwege kama wewe mutashangilia. Nchi gani ya maana ataweza kuishi kwa wizi?
 
Mkuu Ikulu ni mahala patakatifu na si pango la wachuuzi,walanguzi na wafanya biashara, kazi za mawaziri ni zipi, tujirejeshe na hotuba za Mwalimu Nerere wakati enzi za Mwinyi wahindi walipiga kambi ikulu. Ushauri wenu utampeleka pabaya mama yetu.
 
Wezi wote wanafahamu maeneo yao ya wizi. Huyu karudi anajua kuna mabwege kama wewe mutashangilia. Nchi gani ya maana ataweza kuishi kwa wizi?
Wewe mseng.e mbona umejaa matusi kwa wachangiaji wengine.....unataka uchangie peke yako fa.la sana...
 
Yule mwendazake muongiza kwa chuki hakuwa rafiki wa yeyote kama alivyokuwa anajinadi maana hao wanyonge ndio walionyongwa zaidi. ASANTE MUNGU KWA KUTUWEKEA KUFO, potelea mbali
 
Legacy ya mwendazake na bashite inazidi kupotea nimeona wana utopolo wanashangilia kweli wamekataa kuenzi legacy ya mwendazake kumtesa Manji.

Anyway ni faida kwa wakulima wa mbaazi sasa mnunuzi karudi.
Bro unakumbusha watu machungu mwaka manji anazinguliwa mbaazi iliuzwa 50 kilo kutoka 2500.kweli mungu mkubwa watesi Leo chali
 
Manji kurudi Tanzania!?
Duh maisha Yana kwendana mbio sana.
 
Manji ni mfanyabiashara mkubwa siyo wa kukaa na Kitila Mkumbo

Unamaanisha nini?
ukubwa wa umbo, umri au???
Mbona waziri ana onana na wawekezaji wenye ukwasi kuliko wa manji kutoka nje??
Sai Tar.
 
Wezi wote wanafahamu maeneo yao ya wizi. Huyu karudi anajua kuna mabwege kama wewe mutashangilia. Nchi gani ya maana ataweza kuishi kwa wizi?

Manji sio mwizi wewe ,soma historia ya manji kwanza,kuanzia babu yake,baba yake na yeye wote wana pesa!
 
Hawa waonee huruma tu! Kuna watu hapa wanaandika mambo hadi unaogopa gharama ya kuwa na akili ndogo. Mtu analeta thrd ya kumtetea Manji na usalama wake wakati yeye hajui hata ana usalama gani. ni ubwege tu unatusumbua.
Kwani wewe una pesa ngapi ili uone wivu mtu mwingine akitetewa.tafuta nawewe ela ili upate wafuasi wakukutetea vinginevyo ni wivu tu wakijinga unakusumbua.
 
Huo ndio ukweli asilimia mia moja,Magufuli licha ya matatizo yake kama binadamu ila kwa uyu muhindi alikuwa sahihi,Manji ni tapeli la kimataifa,ila kwakuwa nchi hii kila mtu anapambania tumbo lake,watamshangilia na kumsifu eti ni muekezaji!!!!
 
Una uhakika au umekaririshwa.si mlifungua hadi mahakama ya mafisadi ikawaje sasa leo mnaongea mambo as if nchi haina sheria na mahakama.
 
Ukitafakali vipaumbele vya baadhi ya watanzania!!!Kuna watu nchi hii ni wajinga wa kula mavi!!Uyo muhindi amefanya ufisadi wa kutisha,leo kuna majitu yanashangilia ngozi nyeusi sijui tuna rahana gani,?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…