Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Khaaa....
Post ya kindezi kweli....
Post ya kindezi kweli....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama hata upekee aliokuwa nao Manji huujui, unadhani unaweza kujua nini labda katika nyanja za Uchumi na diplomasia???Usalama?
Ngoja tutafakari haya yafuatayo:
kwani yeye ana shida gani na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama? Je wafanya biashara wote walipiga hodi ikulu ili kutamkiwa na kuhakikishiwa usalama na rais? Yeye ana upekee upi ambao inalazimu rais amhakikishie usalama?
Sasa kama hata upekee aliokuwa nao Manji huujui, unadhani unaweza kujua nini labda katika nyanja za Uchumi na diplomasia???
Fyi yourselfSawa unayeujua umuhimu wake. lkn fyi this is one of bandit guys of our time.
Mbona hujawahi kujiuliza watu masikini wanautoa wapi umasikini Ila mtu akibadikika kuwa tajiri ndio mnauliza hela kapata wapiHawa ndio wale wenye pesa lakini hazijulikani zimetoka wapi.
Hawa ndio wale wenye pesa lakini hazijulikani zimetoka wapi.
Fyi yourself
Niondokee hapa na chuki zenu. Mshaambiwa kama halipi kodi ila anatoa ajira 800,000 basi Bora huyo.
Kwahiyo unatudhihirishia kwa jinsi gani Serikali ya JK na JPM zilivyo shindwa kumshitaki na kumhukumu kwa sheria.In fact Manji sio muwekezaji, ni mwizi.
Magufuli made a lot of terrible decisions lakini kwa Manji Magufuli was right, he did the good thing.
Kama ingekua inaruhusiwa ku disclose facts kama court cases and disputes za taasisi za serikali ambazo Manji alilipwa hela na akagoma kutoa huduma, billions of Money humu, mtampiga mawe Manji.
Ndio maana Manji alikua na team ya wanasheria zaidi ya 50 kutoka nchi mbalimbali ili kujilinda na kumlinda dhidi ya wizi wote aliokua anafanyia taasisi za serikali.
Manji sio muwekezaji, ni mwizi.
Kama wengine waliitwa kipi Cha ajabu kwako na manji kuitwa?Usalama?
Ngoja tutafakari haya yafuatayo:
kwani yeye ana shida gani na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama? Je wafanya biashara wote walipiga hodi ikulu ili kutamkiwa na kuhakikishiwa usalama na rais? Yeye ana upekee upi ambao inalazimu rais amhakikishie usalama?
Na Mo mulivyomteka sababu nn nyie Sukuma GangTatizo lako Manji na Wenzio wa aina Hii wanaokudanganya hujui kama serikali Ni dude la hatari Epuka Hizi Cheap Publicity...Hivi Bakhressa na Manji nani ana hela Na nguvu nyingi??? Nani amewahi kuona Bakhressa kwenye mamidia kila uchao??
Manji waliomtuhumu na yale yalimpata ni jukumu lake ajiweke clean..Hii kusema Uzalendo sio kweli mana alitajwa kwenye issues kibao za mambo tofauti tofauti.
Mbona mwendazake alikua anaishi chato au ikulu iliamia chato ?Kwani Manji alifukuzwa? Je wizara ya viwanda imehamia Ikulu? Labda kama ni mkutano wa wafanya biashara na Rais. Manji aje tu aanze shughuli zake akiwa huru kama raia yeyote.
Habari wadau!
Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani.
Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote yaliyomkuta na kukaa ughaibuni miaka mingi bado hakusahau nyumbani na sasa amerudi kuwekeza nyumbani.
Kwa wasiomjua Manji watabeza lakini huyu mtu ni muhimu sana katika kipindi kama hichi ambacho Rais Samia anataka kuboresha ueekezaji, kukuza uchumi na kutekeleza ilani ya chama kwa kutoa ajira million nane.
Sasa ni muda wa mama Rais Samia Hassan kumuita Manji Ikulu na kumsikiliza ana changamoto zipi ili serikali imsaidie aweze kuwekeza tena nchini.
Manji pia ni mpenzi mzuri wa mpira wa miguu ila kwa pande huu sitaki kumsemea.
Karibu sana nyumbani Mtanzania mzalendo Yusuf Manji.
Kama wengine waliitwa kipi Cha ajabu kwako na manji kuitwa?
Kweli wewe kichaa nimeaminiMleta mada wewe ktk wajinga 10 duniani nakuhakikishia hukosi namba.