jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Tunayo mito, maziwa na bahari.
Tunayo Madini ya aina karibu zote na mengine hayapatikani popote hapa Ulimwenguni. Raia tunaishi kwa amani na raha kabisa! Tumejaaliwa ustaarabu wa kiwango kisicho elezeka!
Shime wana siasa yawapasa nyote muisaidie Nchi yetu kusonga mbele daima kwa kutumia rasilimali za bure alizotujalia mwenyezi Mungu na yatupasa sote kwa umoja wetu tuwiwe na staha na subira za changamoto zozote zitukabiriazo ili tuzishinde kama timu.
Mungu ibariki Tanzania!