Watanzania tumuombe Mungu atende miujiza 90% ya wabunge waliopo Bungeni wasirudi tena

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Mungu huwq hashindwi kitu. Hutenda miujiza na anaweza kila jambo.

Hawa wabunge wanaojali maslahi ya CCM kuliko maslahi ya wananchi hawafai kurudi bungeni.

90% ya wabunge walipita 2020 kwa mizengwe. Ndio wapo Bungeni kuongelea hoja za kulinda ulaji wao kuliko kutetea umma.

Mungu atende miujiza . Wasirudi tena.
 
IMG-20250606-WA0006.jpg
 
Usichokijua Samia anataka aweke watu wake wabunge wake hataki watu wenye hulka za kigwajima ndio maana majina ya watakaogombea yanaenda kuchujwa taifani mnaletewa majina matatu.. ndio myapigie Kura anataka atengeneze watu wake
 
Muujiza gani? umelala una type Mungu akupe muujiza? Kwanye Bible yenyewe watu walikusa aanapigana, wakina Ibrahim wali fight hakuwakukaa kunhoja miujiza,

Kwa Taarifa yako hao wakina Msukuma ana asilimia 105 za kurudi Bungeni, sio kwa sabanu kafanya mambo mazuri, bali ni kwa sababu anaongoza wapumbabu kama yeye
 
kwa kweli sula la miujiza halina uhalisia kama wanaofanya maamuzi ni CCM na si sanduku la kura watarudi walewale au wanaotakiwa na maza.Na jamaa wanajipendekeza kweli kweli
 
Usichokijua Samia anataka aweke watu wake wabunge wake hataki watu wenye hulka za kigwajima ndio maana majina ya watakaogombea yanaenda kuchujwa taifani mnaletewa majina matatu.. ndio myapigie Kura anataka atengeneze watu wake
Genge la kumuabudu na kumsifu
 
Back
Top Bottom