Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Mungu huwq hashindwi kitu. Hutenda miujiza na anaweza kila jambo.
Hawa wabunge wanaojali maslahi ya CCM kuliko maslahi ya wananchi hawafai kurudi bungeni.
90% ya wabunge walipita 2020 kwa mizengwe. Ndio wapo Bungeni kuongelea hoja za kulinda ulaji wao kuliko kutetea umma.
Mungu atende miujiza . Wasirudi tena.
Muujiza gani? umelala una type Mungu akupe muujiza? Kwanye Bible yenyewe watu walikusa aanapigana, wakina Ibrahim wali fight hakuwakukaa kunhoja miujiza,Mungu huwq hashindwi kitu. Hutenda miujiza na anaweza kila jambo.
Hawa wabunge wanaojali maslahi ya CCM kuliko maslahi ya wananchi hawafai kurudi bungeni.
90% ya wabunge walipita 2020 kwa mizengwe. Ndio wapo Bungeni kuongelea hoja za kulinda ulaji wao kuliko kutetea umma.
Mungu atende miujiza . Wasirudi tena.
Genge la kumuabudu na kumsifuUsichokijua Samia anataka aweke watu wake wabunge wake hataki watu wenye hulka za kigwajima ndio maana majina ya watakaogombea yanaenda kuchujwa taifani mnaletewa majina matatu.. ndio myapigie Kura anataka atengeneze watu wake