Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

Kwani Nani kakwambia kuwa Mimi naishi kwa kutegemea fadhila za watu kujipatia chakula au kuendesha maisha yangu. Mimi Napigania Taifa langu na watu wenye mioyo ya uzalendo na utu Kama Dr Tulia. Acha chuki zako binafsi
 
Dr Tulia Ni kiongozi mnyenyekevu na mwenye hekima na busara ya Hali ya juu Sana,Hana ubaguzi Wala chuki na mtu,Hana makuu Wala Shari na mtu. Ni mtu wa watu na mwenye kuishi vyema na watu na kusaidia watu pasipo ubaguzi wa Aina yoyote Ile.
Tulia hana busara na wala hajawahi kuwa mnyenyekevuLabda kama umemlinganisha na Mnyeti maana huyo tu pekee pale bungeni ndiye anaezidiwa busara na huyo dadaako

Dr Tulia Ni mnyenyekevu Sana na mwenye moyo wa huruma ndio maana unaona akichangamana na watu wa Aina zote
 
Kwa dhikaka anayoifanya kwa Mungu kuwahujumu wananchi pale bungeni. Ameliongoza bunge kupitisha mambo ya hovyo ya kuwaumiza wananchi na kupitisha mikataba mibovu. Maumivu na vilio vya watanzania vilishafika kwa Mungu aliyetufanya kuwa wana wa nchi hii. Kama anatenda haki kwa wananchi ashinde. Ila kama anawahujumu wananchi ambao ni mali ya Mungu na ashindwe kwa Jina la Yesu aliye Kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…