Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

Huyu mama hapendwi jamani si arudi UDSM akatoe orientation kwa first year kama ilivyokua kawaida yake ???
 
Akishinda sisi tunapata nini? Apambane na hali yake aombe mwenyewe na familia yakee na wale wanaonufaika nae .Mm nafamilia yangu tunapata nini kutoka kwa Tulia? ,omba wewe mnufaika.
 
Kama alivyoiba kura za ubunge pale Mbeya aende akaibe na hizo za huo urais anaoutaka! Shit
 
tapeli tu yule hana lolote na ashindwe
 


Ninaanza kufunga na kuomba ashindwe kabisa mchana kweupe.
 
Tunamuombea,nani washindani wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…