Watanzania tumuombee kwa Mungu kijana Diamond

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Huyu kijana anamiliki Kampuni ambayonndani yake ina label,studio,tv,radio nk..ambavyo vyote vimeajili vijana wa Kitanzania ambao wote wanaendesha maisa yao kwa kumtegemea Huyu Kijana Diamond.


Wote tuzidi kumuombea afanikiwe zaidi ili aanzishe Kampuni Tanzu za Wasafi azidi kuwaajili vijana wenzetu.
 
Huyu jamaa hatar sana...Kaaminisha kwakiasi kua sio elimu tu huweza leta mafanikio makubwa
 
Yaan badala ya kumuombea MO apone salama arudi kwenye kuendeleza uchumi ndo nmuombee huyu
 
Mnaacha kuniombea mimi ambaye sina kitu ili nipate kitu afu mnamwombea mtu ambaye tayali anacho

Nakuomba umuombee siyo ili apate NO kwasabu alishapata ila umuombee ili anisaidie mimi ili nipate kama yeye ili idadi ya wasiopata ipungue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…