Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Wakati unaandika haya, utakuta hata fikra ya kuwaombea wazazi wako kwa Mungu hukuwa nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati unaandika haya, utakuta hata fikra ya kuwaombea wazazi wako kwa Mungu hukuwa nayo.
wanajidhalilisha wenyeweTatizo mdhalilishaji wa wanawake
Inaonekana umekaliliTatizo mdhalilishaji wa wanawake
Wanajidhalilisha wenyewe.Tatizo mdhalilishaji wa wanawake
Wanajidhalilisha wenyewe kupenda kitonga. Kwani anawashikia bunduki?Tatizo mdhalilishaji wa wanawake
Kama alivyowadhalilisha wanawake gani na amewadhalilishaje? Napenda sana kufahamu hili suala manake ndo umekuwa wimbo wenu hivi sasa! Mnaimba huu wimbo huku mkijisahaulisha kwamba ni Hamisa ndie alivujisha picha za chumbani kati yake na Diamond! Ni Hamisa ndie hatimae alikiri kwamba alimwendea Diamond kwa waganga wa kienyeji! Ni Hamisa ndie aliwahi kumwambia Bi Sandra kwamba "machupi yake, au neno baya linalofanana na hilo!"Tatizo mdhalilishaji wa wanawake
Safi kabisa .... mwambie mama yako na baba waongeze maombi pia.... muhimu sanaHuyu kijana anamiliki Kampuni ambayonndani yake ina label,studio,tv,radio nk..ambavyo vyote vimeajili vijana wa Kitanzania ambao wote wanaendesha maisa yao kwa kumtegemea Huyu Kijana Diamond.
Wote tuzidi kumuombea afanikiwe zaidi ili aanzishe Kampuni Tanzu za Wasafi azidi kuwaajili vijana wenzetu.View attachment 907603
Watu ni wajinga mkuu....badala ya kujiombea yy na nafsi yake na familia yake wafanikiwe wawe msaada kwa wengine....yy anakwenda ndivyo sivyo....boriti unatoa jichoni kwako kwanza maandiko yako hivyoWakati unaandika haya, utakuta hata fikra ya kuwaombea wazazi wako kwa Mungu hukuwa nayo.👀👀
Kuna aliyebakwa???Tatizo mdhalilishaji wa wanawake
Tumuombee diamond au tumuombee joh kusaga