Watanzania tumuombee sana Lissu

Lissu boya tu kama maboya wengine.
Alafu alikuwa anajifanya ooh ntawajngiza watu barabarani, utafikiri hao watu anawafuga nyumbani kwake.
Lissu wewe ni boya tu
Mmewatisha na Mabunduki lazima waogope. Hakuna anayependa kuuwawa kinyama na majeshi ya kihuni ya wanasiasa. Maana wakishavutishwa mabangi yao humo magetoni ni mwendo wa kufyatua tu risasi.

Surely, unahitaji kuwa mwendawazimu kupambana na jeshi la wahuni namna hiyo. Hawajali na hawasiti kabisa kushambulia wananchi kwa risasi.

Vinginevyo mngeona maelfu na mamilioni ya watu wakiandamana kumpinga huyo mtetezi wa wanyonge. Na mnafahamu hilo vizuri ndio maana mmetumia nguvu nyingi sana kuficha aibu ya mfalme juha anayependwa na mamilioni ya watanzania.
 
Lissu has nothing to lose, afanye tu hayo mapinduzi ya kujeshi,lol manake mlizidi maigizo, mnaiba kura waziwazi na mnazima mitandao, halafu yale majinga yaliyoletwa kuangalia mwenendo wa uchaguzi yana sema uchaguzi ulifuata taratibu! Really?!? ... LISSU LIPINDUE HILO LI NCHI, WAKAE SAWA HAO MAANA HAWAJITAMBUI
 
Hizi ndio hasara za kuwaita viongozi wako wahuni. Lazma wakunyooshe.
 
Hahahhaha! Eti mapinduzi ya kijeshi. Lisu hana adabu na atapoteza kila eneo na kila kitu.
 
Mroa post huna lolote wewe kichwa chako empty kawa hao waliomkamata kabla hata ya kujua wanamkamata kwa kosa lipi.
Tanzania kukamatwa halafu ndio utafutiwe sababu imekuwa jambo la kawaida hasa katika hii awamu ya tano na mtoa posti aaungana na waliomkamata Lissu kabla ya kujua kosa lake na sasa ndio wanalitafuta.
 

Hizo propaganda za kizee zilikuwa zinatumika zamani sana huko ulaya mashariki, kwa wazungu wanaotumia nguvu nyingi kuliko akili. Leo hii vyombo vyetu ndio vinaona ni mbinu mpya. Huo upuuzi nimesikia hata polisi wa Zanzibar wanasema wamekamata vijana wa ACT wenye mabomu. Kwa hali hiyo wanasiasa wachovu wa ccm wataacha kuwaagiza vyombo vya dola vyenye vichwa vya kufugia nywele. Kwa vyombo vya dola vinavyojitambua, vingewaambia wanasiasa wachovu wa ccm waache kuwageuza vituko mbele ya wananchi. Sio bure hivyo vyombo vya dola vimeishia kuagizwa kubeba mabox ya kura za kubumba ili kuwasadia ccm. 2/3 ya watanzania wameshausoma huo utoto wa ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola, ndio maana hakuna mtu kujitokeza kupiga kura.
 

Wewe mzima kichwani kweli!?
Yaani tuhuma za ugaidi ndio unaziona nzito kiasi cha kuogopa kuziandika kwenye mada yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…