V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 533
Kwa akili yako, basi upinzani wote duniani haufai, sivyo?Lissu boya tu kama maboya wengine.
Alafu alikuwa anajifanya ooh ntawajngiza watu barabarani, utafikiri hao watu anawafuga nyumbani kwake.
Lissu wewe ni boya tu
Ambaye bado yupo ni nani?haya magufuli walikuwepo wakina Mobutu na mkapa saizi wako wapi
Huyu jamaa ndo amejidhalilisha kupita maelezo hadi na.watu kariba unayomzodoa wakamng'ong'aSimuungi mkono LISSU na motives zake lakini kwa mtu FALA tu kama wewe kumuita lissu boya ni sehemu ya maajabu ya dunia.
Inaskitisha nchi hii nzuri.."limeingia genge la dhuluma "utafikili lenyewe litaish milele "!!Huyu balozi anaweza uawa, diplomasia haimruhusu kufanya alichofanya. Huyu kipusa aka punga lisu anapaswa kubinywa gololi zake pimbi kabisa
Kwa iyo na ww unahisi lisu alimshinda magufuli, ndio ikabidi wamuibie, mbona hizo kura za wizi walizichoma sasa, dah, mnachekeshaga, hivi mlidhani lisu atamshinda magufuli kabisa, matumaini mengine ni kujitoa ufahamuZile kura zilizoletwa na vyombo vya dola na kuzuia mawakala wa upinzani wasiiingie? Wenzenu walikuwa wanaiba kura, lakini nyie mnaleta na magari ya vyombo vya dola kimachomacho? Ndio maana watanzania 2/3 wamepuuza huo ushenzi. Huu haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Watu wanawasanifu tu mnavyojichekeshachekesha. Ni kweli Lisu angeweza kushindwa na magu, lakini sio kwa zile mbinu za juzi za kitoto. Fungulieni watu social media maana upuuzi wenu uko wazi peupe na hakuna mtu ana muda na washamba.
Duh masikini wee yaani tumefikia hapoSasa unaogopa nini kuzisema hapa? Mana tanpol wamesema alikiwa anaenda ubalozi wa ujerumani kitafuta hifadhi ya kisiasa.
Lingekuwa mugebuka ningelila nikalinya mavi ya kijani kwenye choo kilichojaa funzaMna gubu nyie wanawake!
Mkuu tuna utawala wa kigaidiKwanza kabisa tunamuomba Lissu ajitokeze na aseme alipelekwa Polisi kwa tuhuma zipi kwani inaonekana tuhuma hizo sio za kawaida unless zimeisha leo leo.
Binafsi nimesoma tweet ya mwandishi mmoja(Halima Gikandi) ambae kafanya mahojiano na Lissu, mahojiano ambayo yamegusia sababu za Lissu kupelekwa Polisi kwa mahojiano.
Tunamuomba Lissu aseme/athibitishe angali mapema kwani hizi tuhuma n nzito mno hata nikandika hapa mods wanaweza kufuta na ninahakika zitaibua majala mzito sana hapa JF na kwenye mitandao zikiwekwa wazi.
Kama ni kweli Lissu kahojiwa kwa tuhuma hizi, basi tumuombee ingawa bado naamini hizo tuhuma zinaweza kufutwa na ndio maana amewaza hata kuachiwa.
Kama una hasira andamana.Shetani wewe laaniwa na kizazi chako
Ufee ukiwa huna mbele wala nyuma
Hayawani mkubwa ,sijui ulikuja dunian kufanya nini
Ulaniwe kwa Kila hatua ukanyagapo kuanzia kwenye ukoo wako na imekuaLissu boya tu kama maboya wengine.
Alafu alikuwa anajifanya ooh ntawajngiza watu barabarani, utafikiri hao watu anawafuga nyumbani kwake.
Lissu wewe ni boya tu
Kwa iyo na ww unahisi lisu alimshinda magufuli, ndio ikabidi wamuibie, mbona hizo kura za wizi walizichoma sasa, dah, mnachekeshaga, hivi mlidhani lisu atamshinda magufuli kabisa, matumaini mengine ni kujitoa ufahamu
Nyamaza, Huna akili boya mkubwaShetani wewe laaniwa na kizazi chako
Ufee ukiwa huna mbele wala nyuma
Hayawani mkubwa ,sijui ulikuja dunian kufanya nini
Hizi chuki zenu kuna siku zitawatokea puaniHuyu balozi anaweza uawa, diplomasia haimruhusu kufanya alichofanya. Huyu kipusa aka punga lisu anapaswa kubinywa gololi zake pimbi kabisa
Watakuwa wamemwanikia kila kitu hadharani alichodhani ni siri nzito ya yeye na Amsterdam Tu chezea serikali weweLissu ameachiwa, kwahiyo anaweza kutweet.
Ukiona hajatweet ujue ameamua mambo yake binafsi kutokuyaweka hadharani. Kwahiyo ni muhimu kuheshimu privacy yake.