Watanzania tumuombee sana Lissu

Sasa unaogopa nini kuzisema hapa? Mana tanpol wamesema alikiwa anaenda ubalozi wa ujerumani kitafuta hifadhi ya kisiasa.
Kaona Watanzania hawamuungi mkono maandamano yake na vurugu zake anatafuta pa kutimkia!!!! Watanzania namba ingine.Kosa kubwa alilofanya kushirikisha wazungu na kujifanya katumwa na wazungu kuja kugombea.Tulimkimbiza mzungu tujitawale yeye anakuja kutuletea mambo ya wazungu kututawala kupitia yeye tena?
 
Ye ni nani mpaka aombewe?
 
Sasa ndo anataka kutamatisha vibaya kuliko mwanzo na tamati ya Hilo ni Baya mno kwake kama ndio kweli kwa kuwa halitampa faida hata Ile ndoooogo Kabisa ispokuwa ni hasara kuuuubwa itayogharimu Hadi ukoo wake, Chama chake na marafiki zake

Kama ni kweli, hiyo Ngoma sio saizi yake Haki ya mama!

Anaingia kwenye mchezo wa sindano jirani na tundu lake chooo
 
Wananchi wengi wanaumia sana kwa uonevu unaofanywa kwa sasa
 
Watakuwa wamemwanikia kila kitu hadharani alichodhani ni siri nzito ya yeye na Amsterdam Tu chezea serikali wewe

Hapo atakuwa baada ya kutoka hata kula hakuweza kula
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Sina tatizo na Lisu kushindwa maana kushindana kuna kushinda na kushindwa, ameshindwaje hapo ndio penye hoja. Hizo kura wasingezichoma vyombo vya dola wangezirudisha kujazia kwenye hizo kura za wizi.
Hahaha mnapoteza muda kujadili ushindi na kushindwa, hawawezi kukupa majibu.
Waliishaamua kushinda wao na sio kwa kura.

Hata nchi nzima msingepiga kura waliishaamua wao ndio washindi, sasa kwanini muumizane vichwa kujadili?!

Wamesema CCM inakubalika kwa asilimia 99, sasa nani amewahi kushinda kwa asilimia 1?!

Wewe unataka kujua kashindwaje, wao wanasema lisu hakubaliki, sasa kwanini wanajua wao.

Wameshinda kwa kishindo.

Let it go.
 
Waliishaamua kushinda wao na sio kwa kura.
Waweke wazi kuwa wamepora ushindi.. sio kujidai wameshinda kwa kura wakati sio kweli.

Na hawa watetezi wa CCM humu ndo wezi wenyewe waliofanikisha huo mchezo haramu
 
Waweke wazi kuwa wamepora ushindi.. sio kujidai wameshinda kwa kura wakati sio kweli.

Na hawa watetezi wa ccm humu ndo wezi wenyewe waliofanikisha huo mchezo haramu
Hahaha wazi vipi tena na wameshajitangaza, au ulitaka wafanye nini, kura feki uliziona sasa wakiweka wazi itabadirisha nini?!

Wapongeze au wachunie, endelea na maisha yako.

Waliishasema, hata msipoipigia kura CCM bado itashinda, kuipigia kura CHADEMA ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria.

Mimi nilimwaga sukari ziwa Victoria.
 
Lissu ajiombee mwenyewe tuna mambo mengi ya kuombea Nchi na Raisi anayetarajia kuapishwa. Uliyetoa uzi usitupe kazi
 
Lissu ameachiwa, kwahiyo anaweza kutweet.


Ukiona hajatweet ujue ameamua mambo yake binafsi kutokuyaweka hadharani. Kwahiyo ni muhimu kuheshimu privacy yake.
Tuhuma kwamba wazungu wamemfumua Malinda yake, kamwe hawezi kuyaweka bayana😀
 
Lissu boya tu kama maboya wengine.

Alafu alikuwa anajifanya ooh ntawajngiza watu barabarani, utafikiri hao watu anawafuga nyumbani kwake.
Lissu wewe ni boya tu.
Boya huwa anawaita wasio maboya kuwa ni maboya.Pole sana boya mkuu naona unateseka,na bado,mzimu wa uchaguzi huu utawatesa kila mmoja kwa nafasi yake hadi kaburini
 
Huyu balozi anaweza uawa, diplomasia haimruhusu kufanya alichofanya. Huyu kipusa aka punga lisu anapaswa kubinywa gololi zake pimbi kabisa
Wewe Ziro kweli, usitudanganye hapa na elimu yako ya darasa la sita bii. Eti anaweza kuuawa, shenzi type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…