Watanzania tumuombee sana Lissu

Nyamaza upate dawa
 

Attachments

Sina tatizo na Lisu kushindwa maana kushindana kuna kushinda na kushindwa, ameshindwaje hapo ndio penye hoja. Hizo kura wasingezichoma vyombo vya dola wangezirudisha kujazia kwenye hizo kura za wizi.
Hamna, kuzichoma was a wrong move, alafu lisu hawezi mshinda magufuli.
 
Hamna, kuzichoma was a wrong move, alafu lisu hawezi mshinda magufuli.

Magufuli hana sifa ya kushinda kwa box la kura, na wala hatakaa awe na uwezo huo. Na hilo ni toka akiwa mbunge hakuwa anashinda kwa box la kura, zaidi ya figisu.
 
Mtu anavyokuambia wanaanzisha maandamano yasiyo na kikomo maana yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…