Watanzania tumwombee na tujitokeze kumsaidia mwanamuziki Banza Stone kwani yupo katika hali mbaya

mnapiga kura za nini mkuu? mi niko busy najiandikisha nipate kitambulisho cha mpiga kura, mtoa mada nae hajatoa maelezo kwa wanaotaka kumsaidia waende wapi,


MTV mama 2015 Daimond platnum
 
Banza mola akujaalie afya! Na kama yule dada alisema kweli amekuachia hili gonjwa sema tu usaidiwe we sio wa kwanza! Na wengine wajifunze kwako watulie na mwanamke mmoja waoe!wenye uwezo watakusaidia
Anaumwa nini? Ni muda mrefu sana
 
Nyumbani kwao Sinza.Ukitokea sinza kijiweni unashuka na barabara iendayo tandale/msasani/mw nyamala,upande wako wa kushoto utaipita Deluxe hoteli,endelea upande huohuo utawaona vijana waziba pancha basi ni kama umefika maana ni nyumba ya 2 tu toka kwa waziba pancha hao,kwahiyo ukitokea sinza kijiweni unashusha barabara hiyo ya lami ni kama mita 100 toka sinza kijiweni
 
Asante kwa taarifa Mkuu. Ugua pole Banza na Mwenyezi Mungu akupe nafuu kiafya ili urejee kutoa huduma kwa jamii kupitia kipaji chako cha muziki. Amen.
 
Mungu mkubwa, atampigania.

Maana tangu niskie jamaa anaumwa tangu 2008.0apate nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…