Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
mnapiga kura za nini mkuu? mi niko busy najiandikisha nipate kitambulisho cha mpiga kura, mtoa mada nae hajatoa maelezo kwa wanaotaka kumsaidia waende wapi,
MTV mama 2015 Daimond platnum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnapiga kura za nini mkuu? mi niko busy najiandikisha nipate kitambulisho cha mpiga kura, mtoa mada nae hajatoa maelezo kwa wanaotaka kumsaidia waende wapi,
Watu tuko busy huku Nigeria bwana....mwambie banza asubiri kwanza MTV tuzo zipite
Wewe sie tupo busy tunapiga kura,shughulikieni nyie
mamaaaaeee nimechekaa ile mbaya nimeandika kama wewe lo nilikua sijaona aiseee jamanii
Anaumwa nini? Ni muda mrefu sanaBanza mola akujaalie afya! Na kama yule dada alisema kweli amekuachia hili gonjwa sema tu usaidiwe we sio wa kwanza! Na wengine wajifunze kwako watulie na mwanamke mmoja waoe!wenye uwezo watakusaidia
Watu tuko busy huku Nigeria bwana....mwambie banza asubiri kwanza MTV tuzo zipite
Ukimaliza Nigeria utupe mrejesho utakuwa umeingiza shilingi ngapi:becky:
Ukimaliza Nigeria utupe mrejesho utakuwa umeingiza shilingi ngapi:becky:
hahaha nina furaha unanifwatilia sana.... hahaha
Nianze tu kukufuatilia. Naona unataka kujipa promo.:becky:
haya basi yaishee:becky:ndo maana uliniquote....kwani kutambua uwepo wa mtu dhambi ndugu frilensa na msajili namba?
Ameathirika na ulaji wa unga .....
Huyu kijana jamani ameteseka,anaumwa, anapata nafuu anaumwa tena,pole yake kwa kweli