The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,383
- 2,587
Yes, tunachezea mudaAjali ikitokea watu wanaacha shughuli zao wanakwenda kushuhudia, kama huko pale kutoa msaada endelea kuuza maandazi yako usuburi kusimuliwa.
Mualimu akifiwa shule yote inafungwa siku mbili hamna kazi loh!!!!!Hii tabia ya kucheza na muda tusipoiacha tutaendelea kuwa miongoni mwa nchi masikini tu. Hatujali kabisa muda. Ukienda kwenye taasisi za serikali unawekwa benchi bila sababu ya msingi kabisa kwa huduma ndogo tu ambayo ungeipata haraka ukarudi kwenye shughuli za kujenga uchumi wa nchi.
Natoa ushauri. Huu ni wakati wa kubadilika. Watumishi wa serikali badilikeni mnarudisha uchumi wa nchi nyuma kwa kutokutoa huduma haraka.
Ni kweli mkuuNi muda wa kutambua muda una thamani kuliko pesa. Mfano unaweza poteza laki, kesho ukaingiza laki 2, ili siku uloshinda bila shughuli ya maendeleo au kumuabudu Muumba, hairudi hiyo.
Bank madirisha ya tellers yako 4 plus mapokezi but unakuta most of the time moja au 2 tuu ndiyo yanafanya kazi, huu ni uzembe sanaTRA, Meza za wahudumu 4 Mbili ndio Zina wahudumu, mMoja ndie anatoa huduma mwingine nikutoka na kuingia mpaka jioni.
Saba saba (inayofanyika huko Dar) tunapumzika... Nane nane inayofanyika mikoa michache nchi nzima tunapumzika, daah hatari sana...Mualimu akifiwa shule yote inafungwa siku mbili hamna kazi loh!!!!!
Kha!eti um-bake....sheedaHiyo ipogo automatically kwa Africa, We angalia tu vidada vilivyo kwenye huduma za Customer service kwenye makampuni, Unakuta maringo mengiii mara aamke atembee tembee, mara ajipokeleshe visimu na huku anaona mpo kwa foleni na watu wanahitaji huduma kwa haraka..... Yaani unakuta anakera watu mlio na haraka hadi unatamani upate nafasi um-bake😡 .... Anyway bongo usipopoteza muda unapotezewa.
umzingue bhn😁 umesoma vibayaKha!eti um-bake....sheeda