Kizungu yako-stick to your kikuyu languageKizungu yako ni mbaya sana tafadhali jikite kwenye kiswahili. Hahaha umenichekesha. Eti Tanzanian have tremendously English. You can't make this stuff up.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizungu yako-stick to your kikuyu languageKizungu yako ni mbaya sana tafadhali jikite kwenye kiswahili. Hahaha umenichekesha. Eti Tanzanian have tremendously English. You can't make this stuff up.
Toa data acha upuuzi. Mambo hayo ya kuongea bila data kaongee kijiweni sio hapaKuwekeza Tanzania ni risk zaidi kuliko Kenya,Kwa kupata tu hizo vibali urasimu kila sehemu, purchasing power ya watu iko chini,kodi kubwa,hakuna UMEME wa uhakika, Sera hazitabiliki maamuzi ya siku unategemea na kiongozi kaamkaje Kwa maaumuzi hayo unaweza ukajikuta umeamka masikini, watu wamejenga viwanda vya mafuta ya kula kodi juu,sukari ya viwandani mara imezuiliwa hakuna kuagiza sukari nk,Mara tajiri Fulani yuko ndani Kwa chuki za kisiasa. Wanakimbilia Kenya sababu hakuna vikwazo hivo,pia katiba yao ni nzuri haimpi mtawala Madaraka makubwa kuburuza Sheria.
Ndio hao wanaoambiwaga manyumbu, hua wanakera kwa kutothamini kwao as if kama hawajui historia ya Kenya na Tanzania katika nyanja za viwanda, ama kweli makarai....!!!!Toa data acha upuuzi. Mambo hayo ya kuongea bila data kaongee kijiweni sio hapa
Hebu waelezee wenzako pale jukwaa la siasa juu hapa Kenyan Forum halitufaidi sisi Nyang'au.CAG ndiyo KAZI yake. HATA chadema nao watoe taarifa ya mapato na matumizi. HATA WALE whistle blowers accounts ZAO ziwe audited. Lazima sheria itungwe, MAANA zile ni PESA wanazozipata kwa mgongo wa umma.
Muwekee data kaka inaonekana haamini unachosema.Toa data acha upuuzi. Mambo hayo ya kuongea bila data kaongee kijiweni sio hapa
Kuna vyengine ambavyo vimefunguliwa tangu 2014 viko viwanda vingiBut kama umeangalia vizuri hamna hata kiwanda kimoja phyisical ambacho kipo kenya tayari hizo zote ni plan tu zimesemwa!! Sasa hapo cha kutaka kujiuliza kwa nini mapicha picha sana
Kwanza nimekupa like kubwa.Kama saloon hapa kwetu tunaita kiwanda.Unategemea nini hapoKaka Quinine sisi hatuimbi Viwanda, bali tunajenga viwanda, lengo letu na Kenya ni tofauti sana, Sisi mbiu yetu kuwa vyerahani vinne ni viwanda tofauti na wenzetu wanaowaza big factory
Kupata uwekezaji mkubwa kama huo ni lazima Lobbying ya nguvu ifanyike, na hao Big company kama Peugeot, Iveco, Ashok Leyland nk kuwapata mabosi wake ni level ya Marais, sio Mwijege akanegotiate na Iveco, JK alijishusha kwa Dangote na matokeo tukayaona,
Kama raisi hataki kutoka nje kuongea na hao Big companies unategemea Big project kutoka wapi?
Heri umegundua lakini ulichelewaAisee! I didn't know if you this stupid. I give up.
Haijafa bado. Inaendelea chini chini (kimya kimya)Sera ya viwanda ndo imeshakufa hiyo.
Kama unaona tunadanganyana si uhamie huko wewe unayehusudu vya nje na koponda vya kwako. Malaya Wa akili ni watu Wa ajabu sana.Kwa vile awamu hii imejipambanua kwa sera ya viwanda, nilitegemea kuona serikali ya Tanzania ikiwawezesha wawekezaji wa ndani na wa nje kuanzisha viwanda vya aina hii.
Pamoja na vurugu zao wenzetu wakenya wameweza vipi, kwa nini sisi tuendelee kujidanganya na kuwadanganya wananchi kuwa ukiwa na vyerehani vinne ndiyo maendeleo ya viwanda.
View attachment 738075 View attachment 738076 View attachment 738077 View attachment 738078 View attachment 738079
Uwepo wa wawekezaji sio tiketi ya kuaga umaskini. Umaskini unaondoka kwa namna ulivyotumia uwepo wa hao wawekezaji. Viwanda kama hivyo vikija hapa still bado maskini wataendelea kuwepo tu. Hata nchi ambazo hao wawekezaji wanatoka maskini wapo.
Logic ni kwamba, umaskini wa mtu mmoja mmoja ni juu ya mtu mmoja mmoja. Kuna nchi nyingi zina GDP nzuri sana inayokuzwa na wawekezaji lakini zina maskini.Where is a logic then?
Ni vyema aende akazungumze na wawekezaji huko huko waliko sio kujifungia tu Magogoni.Napenda nimuombe rais wetu atoke nje kuzungumza na wenye makampuni makubwa,nimeona makampuni makubwa ya magari yenye mpango wa kuwekeza kenya mpaka nimeogopa,hadi inanıuma.
Wawekezaji wakubwa kama hao hawaji tu lazima tuwafate hukohuko kwao.Mh Kikwete kwa ushawishi ALIKUWA anaweza.