Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

Kizungu yako ni mbaya sana tafadhali jikite kwenye kiswahili. Hahaha umenichekesha. Eti Tanzanian have tremendously English. You can't make this stuff up.
Kizungu yako-stick to your kikuyu language
 
Toa data acha upuuzi. Mambo hayo ya kuongea bila data kaongee kijiweni sio hapa
 
Toa data acha upuuzi. Mambo hayo ya kuongea bila data kaongee kijiweni sio hapa
Ndio hao wanaoambiwaga manyumbu, hua wanakera kwa kutothamini kwao as if kama hawajui historia ya Kenya na Tanzania katika nyanja za viwanda, ama kweli makarai....!!!!
 
CAG ndiyo KAZI yake. HATA chadema nao watoe taarifa ya mapato na matumizi. HATA WALE whistle blowers accounts ZAO ziwe audited. Lazima sheria itungwe, MAANA zile ni PESA wanazozipata kwa mgongo wa umma.
Hebu waelezee wenzako pale jukwaa la siasa juu hapa Kenyan Forum halitufaidi sisi Nyang'au.
 
Kwanza nimekupa like kubwa.Kama saloon hapa kwetu tunaita kiwanda.Unategemea nini hapo
 
Sera ya viwanda ndo imeshakufa hiyo.
 
Kama unaona tunadanganyana si uhamie huko wewe unayehusudu vya nje na koponda vya kwako. Malaya Wa akili ni watu Wa ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwepo wa wawekezaji sio tiketi ya kuaga umaskini. Umaskini unaondoka kwa namna ulivyotumia uwepo wa hao wawekezaji. Viwanda kama hivyo vikija hapa still bado maskini wataendelea kuwepo tu. Hata nchi ambazo hao wawekezaji wanatoka maskini wapo.

Where is a logic then?
 
Ni vyema aende akazungumze na wawekezaji huko huko waliko sio kujifungia tu Magogoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…