Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #21
Shida nini mzee mbona hasira ukweli ndio huo ccm hawezi kutoka Kwa kutype No reform No electionwewe unakalia kuandika uzi baada ya uzi wa kipumbavu kama huu, wewe umechukua hatua gani? kama huna la kusema uchubue waache unaowaona wajinga waendelee na wanachokifanya.
tembea barabarani kwa heshima bila makelele wala kusumbua wengine wenye shughuli zao na hakuna atakae babaika na wewe kabisaKutembea au we hutembeagi barabarani
Kweli wanakereka na hawajaanza Leo kukereka ila hawawezi kutoka we mkere ila wao furaha Yao kula Kodi YakoUmewauliza jinsi wanavyokereka na kujikuna unspotokea ushuzi?
Sijakuelewatembea barabarani kwa heshima bila makelele wala kusumbua wengi , hakuna atakaebabaika na wewe
Wewe ni kapumbavu grade one!Wewe umefanya nini ili hao wapuuzi CCM wanaosuka nywele waondoke?Bloody pambaff!Kweli wanakereka na hawajaanza Leo kukereka ila hawawezi kutoka we mkere ila wao furaha Yao kula Kodi Yako
Ccm anatolewa kwanza kuwa reverse brain waahing ambayo imefanywa na wao wenyewe kwa miaka mingiHuwezi kumtoa ccm Kwa kutype no reform No election ndio maana hii kauli mbiu imeisha nguvu mtandaoni sio kama mwanzo
Utafanya yote ila huwezi kuitoa ccm Kwa mdomo kama hiviCcm anatolewa kwanza kuwa reverse brain waahing ambayo imefanywa na wao wenyewe kwa miaka mingi
How kwanza kwa kuwapa elimu na mifano hai ya mambo yanayoendelea
No repfrm no election ni slogan tu ya kuhamasisha, social media ni mobilaziton na communication tool ya kuwafikia watu kwa haraka but haimaanish ndio solution
Tunakihitaji CHAUMMA kije kuziba mapengo katika jamii ya kisiasa, kama watakuwa waadilifu watakuwa egemeo la wazalendo, mstakabali wa Taifa ndio kipaumbele namba Moja.Subiri muziki wa Chauma
Kwa hiyo Nyerere na wenzake waliwaendea wakoloni na kuwapiga ngumi? Bloody pambaff!Utafanya yote ila huwezi kuitoa ccm Kwa mdomo kama hivi
Wapi nimesema inatolew kwa mdomo, inatolewa kwa combination ya vitu vingi, si mdomo pekeeUtafanya yote ila huwezi kuitoa ccm Kwa mdomo kama hivi
😀😀😀ukiwakuta Jf utasema utazani wakina fidel castro Mbowe aliwaambia njoeni barabarani alijikuta yeye na familia yake wanafiki sana wafuasi wa LissuKila siku kwenye page za mange kimambi na sativa ni no Reform no election eti ndio kuandamana hivyo ambapo serikali italeta katiba mpya unajua Kuna vitu vinachekesha sana Bora hata wasiwe wanaandika huo utumbo baada ya kupanga mikakati ya kuingia barabarani Kila siku mikwara ya mtandaoni nasema hivi Kwa staili hii ccm hatoki madarakani milele huwenda ndio wanahati miliki ya hii nchi hivyo tulipe Kodi wao wazitafune na familia zao
Hiyo combination tanzania haiwezekani hmana kizazi Cha kuitoa ccm ukishakua mtanzania tu ni lazima uwe muoga tusidanganyane hapaWapi nimesema inatolew kwa mdomo, inatolewa kwa combination ya vitu vingi, si mdomo pekee
Ccm wameshakuwa exposed thanks to advancement in tech
Sasahiv unamfanganya nani kirahisi? Information ziko kwenye kiganja cha mtu?
Na mabailiko ya kizazi, si kinachodanganyika kirahisi tena kama chetu au wazazi wetu
Mkoloni aliondoka mwenyewe kwenda nchini kwao Sasa ccm ni watanzania waende wapi zaidi ya kuwa hapa tanzania tumia akili kidogoKwa hiyo Nyerere na wenzake waliwaendea wakoloni na kuwapiga ngumi? Bloody pambaff!
Hahahaha 🤣🤣🤣😀😀😀ukiwakuta Jf utasema utazani wakina fidel castro Mbowe aliwaambia njoeni barabarani alijikuta yeye na familia yake wanafiki sana wafuasi wa Lissu
Inawezekana sana, JK Nyerere said that, i am not shure unatokea kizazi gani but ni very possibleHiyo combination tanzania haiwezekani hmana kizazi Cha kuitoa ccm ukishakua mtanzania tu ni lazima uwe muoga tusidanganyane hapa
Endelea kuotaInawezekana sana, JK Nyerere said that, i am not shure unatokea kizazi gani but ni very possible
Kila kizaz kina mabadiliko na mahitaji yake, kama hiki tu cha sasa kiko hivi hapo baadae itakuwaje?
kama vile vyama vingine vikongwe afrika vilianguka, hata ccm itaanguka ni suala la muda tu. Hakuna kitu kinaishi milele
Sioti, najifunza kwa nchi zilizokuwa na utawala kama huu huu tu, nchi ambazo nimetembelea na nikajua culture yaoEndelea kuota
Wakati Madelu anakuambia uende Burundi ulijibu nini?Mkoloni aliondoka mwenyewe kwenda nchini kwao Sasa ccm ni watanzania waende wapi zaidi ya kuwa hapa tanzania tumia akili kidogo