Watanzania tunaishia kupiga mikwara mtandaoni tu hahahaha

Watanzania tunaishia kupiga mikwara mtandaoni tu hahahaha

wewe unakalia kuandika uzi baada ya uzi wa kipumbavu kama huu, wewe umechukua hatua gani? kama huna la kusema uchubue waache unaowaona wajinga waendelee na wanachokifanya.
Shida nini mzee mbona hasira ukweli ndio huo ccm hawezi kutoka Kwa kutype No reform No election
 
Kweli wanakereka na hawajaanza Leo kukereka ila hawawezi kutoka we mkere ila wao furaha Yao kula Kodi Yako
Wewe ni kapumbavu grade one!Wewe umefanya nini ili hao wapuuzi CCM wanaosuka nywele waondoke?Bloody pambaff!
 
Huwezi kumtoa ccm Kwa kutype no reform No election ndio maana hii kauli mbiu imeisha nguvu mtandaoni sio kama mwanzo
Ccm anatolewa kwanza kuwa reverse brain waahing ambayo imefanywa na wao wenyewe kwa miaka mingi

How kwanza kwa kuwapa elimu na mifano hai ya mambo yanayoendelea

No repfrm no election ni slogan tu ya kuhamasisha, social media ni mobilaziton na communication tool ya kuwafikia watu kwa haraka but haimaanish ndio solution
 
Utafanya yote ila huwezi kuitoa ccm Kwa mdomo kama hivi
 
Subiri muziki wa Chauma
Tunakihitaji CHAUMMA kije kuziba mapengo katika jamii ya kisiasa, kama watakuwa waadilifu watakuwa egemeo la wazalendo, mstakabali wa Taifa ndio kipaumbele namba Moja.
 
Utafanya yote ila huwezi kuitoa ccm Kwa mdomo kama hivi
Wapi nimesema inatolew kwa mdomo, inatolewa kwa combination ya vitu vingi, si mdomo pekee
Ccm wameshakuwa exposed thanks to advancement in tech

Sasahiv unamfanganya nani kirahisi? Information ziko kwenye kiganja cha mtu?

Na mabailiko ya kizazi, si kinachodanganyika kirahisi tena kama chetu au wazazi wetu
 
Kila siku kwenye page za mange kimambi na sativa ni no Reform no election eti ndio kuandamana hivyo ambapo serikali italeta katiba mpya unajua Kuna vitu vinachekesha sana Bora hata wasiwe wanaandika huo utumbo baada ya kupanga mikakati ya kuingia barabarani Kila siku mikwara ya mtandaoni nasema hivi Kwa staili hii ccm hatoki madarakani milele huwenda ndio wanahati miliki ya hii nchi hivyo tulipe Kodi wao wazitafune na familia zao
😀😀😀ukiwakuta Jf utasema utazani wakina fidel castro Mbowe aliwaambia njoeni barabarani alijikuta yeye na familia yake wanafiki sana wafuasi wa Lissu
 
Wapi nimesema inatolew kwa mdomo, inatolewa kwa combination ya vitu vingi, si mdomo pekee
Ccm wameshakuwa exposed thanks to advancement in tech

Sasahiv unamfanganya nani kirahisi? Information ziko kwenye kiganja cha mtu?

Na mabailiko ya kizazi, si kinachodanganyika kirahisi tena kama chetu au wazazi wetu
Hiyo combination tanzania haiwezekani hmana kizazi Cha kuitoa ccm ukishakua mtanzania tu ni lazima uwe muoga tusidanganyane hapa
 
Hiyo combination tanzania haiwezekani hmana kizazi Cha kuitoa ccm ukishakua mtanzania tu ni lazima uwe muoga tusidanganyane hapa
Inawezekana sana, JK Nyerere said that, i am not shure unatokea kizazi gani but ni very possible
Kila kizaz kina mabadiliko na mahitaji yake, kama hiki tu cha sasa kiko hivi hapo baadae itakuwaje?
kama vile vyama vingine vikongwe afrika vilianguka, hata ccm itaanguka ni suala la muda tu. Hakuna kitu kinaishi milele
 
Endelea kuota
 
Endelea kuota
Sioti, najifunza kwa nchi zilizokuwa na utawala kama huu huu tu, nchi ambazo nimetembelea na nikajua culture yao

Unless nabishana na mwana ccm, ambae hana international exposure
 
Haya mawazo ya huu uzi ni yale ya utumwa. Kujaribu kubeza wanaopiga kelele bila kuonesha hatua ambayo wewe umechukua ni kutaka kila mtu asalimu amri.
 
Back
Top Bottom