Watanzania tunajiandaaje na kasi hii ya mabadiliko ya fedha za kimtandao?

FreeBitco.in - Free Bitcoin Wallet, Faucet, Lottery and Dice!

Ingia kwenye hiyo link upate kucheza free rolls upate free bitcoin. Unachotakiwa kufanya ni kukwepa kutumia bitcoins zako kwenye Multiplying Jackpot games na kwenye Lottery. Tumia.free rewarded points zitakapofika 3200 na zaidi kununulia free bitcoin bonus za 1000% kwa kila free roll utakayopata kwa kila saa kwa muda wa masaa 24. Na ni vizuri ukazicheza siku za weekend kunapokuwa na 48hrs za promotion ambapo utapata rewads zingine 10,na free rickets za Lottery. Km unaamini bahati yako unaweza pia kuhamisha kiasi cha free bitcoin (satosh) unazopata kwenye free rolls ukazitumia kununua tickets za Lottery ziongezeke kwenye zile.za bure unazopata, ikiwa bahati yako ndani ya weekend moja unashinda ma kupata bitcoin 2 na zaidi( hili silishauri kwani wanacheza watu zaidi ya million na wengi ni wale waliocheza tangu mwanzoni bitcoin ikitangazwa ambako rewads zilikuwa nyingi)
Njia ya pili ni kununua bitoin siku za mwanzoni za juma zikiwa zimeshuka thamani na kuuza kwa less value ya siku moja au mbili kabla ya jumapili ambayo ndio siku ya Lottery ukapata faida kubwa.

Changamoto tulionayo hasa hapa kwetu ni jinsi ya kutoa E money kutoka kwenye "bitcoin wallet" kupeleka bank au kwenye cm, mfumo wa bitpesa nao ni changamoto kubwa.
Kama financial institutions zetu zikiweza ku integrate na mfumo huu basi ishu nyingi naona za kimataifa na hata biashara za kimataifa zitakua sana.
sasa kama bank zetu hazisupport bas hii sio ishu maana zitakuwa bitcoin hewa hauwezi kuhamisha bank
 
Kuna kitu hapa hatujawekewa wazi tukajua ama ni delaying tactics zinafanywa na washauri wa Bank kuu/Benk zetu hapa nchini kwa makusudi ili kusaidia ama wanatumika na jirani kudhoofisha biashara yoyote mpya ianzie kwa jirani halafu tutumie platforms za majirani faida iende kwao.

Nasema hivi kwa sababu wakati kwetu wanazuiya wenzetu Kenya wameshatengeneza online payments system inaitwa bitpesa wakishirikiana na wanigeria. Cha ajabu Bitpesa inafanya transactions za bitcoin kwa Mpesa,Tigopesa na Airtel money. Yani mtu mwenye bitcoin anatuma bitcoin zake huko Bitpesa halafu unafanya drawing kwa mobile payments system za hayo makampuni. Sasa najiuliza je centralization yetu hapi inaaply vip hapo?
 
eo 1 bitcoin iko $3515.02
Hapa ndio patamu kuuza maana km j4 uliipata kwa $3000 basi uns fsids ya $500 hizo zingine unazilipis transaction Fee's
 
Asubuhi hii bitcoin imefika $ 3715.99
 
Bitcoin ni nini?
Bitcoin ni nin hii kitu? mbona hamfafanui
Hivi hawa watu inamaana maswali yao hayajaonekana
FreeBitco.in - Free Bitcoin Wallet, Faucet, Lottery and Dice!

Ingia kwenye hiyo link upate kucheza free rolls upate free bitcoin. Unachotakiwa kufanya ni kukwepa kutumia bitcoins zako kwenye Multiplying Jackpot games na kwenye Lottery. Tumia.free rewarded points zitakapofika 3200 na zaidi kununulia free bitcoin bonus za 1000% kwa kila free roll utakayopata kwa kila saa kwa muda wa masaa 24. Na ni vizuri ukazicheza siku za weekend kunapokuwa na 48hrs za promotion ambapo utapata rewads zingine 10,na free rickets za Lottery. Km unaamini bahati yako unaweza pia kuhamisha kiasi cha free bitcoin (satosh) unazopata kwenye free rolls ukazitumia kununua tickets za Lottery ziongezeke kwenye zile.za bure unazopata, ikiwa bahati yako ndani ya weekend moja unashinda ma kupata bitcoin 2 na zaidi( hili silishauri kwani wanacheza watu zaidi ya million na wengi ni wale waliocheza tangu mwanzoni bitcoin ikitangazwa ambako rewads zilikuwa nyingi)
Njia ya pili ni kununua bitoin siku za mwanzoni za juma zikiwa zimeshuka thamani na kuuza kwa less value ya siku moja au mbili kabla ya jumapili ambayo ndio siku ya Lottery ukapata faida kubwa.

FreeBitco.in - Free Bitcoin Wallet, Faucet, Lottery and Dice!
alafu naona kama vile mtoa mada anaendelea tu kulisongesha sasa sijajua ni kwamba hataki wajue siri ya jinsi ya kumake money ama
 
Bitcoin au Btc km wengi wanavyofupisha nifedha ya kimtandao( Visual currency) inayopewa thamani kama fedha zingine tulizozizoea.Sasa hivi inatumika kwa manunuzi mbalimbali kwenye masoko ya mtandao. Pia kufanya malipo kwenda ktk current za kawaida.
 
This Sunday $4140
Kwa kweli natamani mifumo yetu ingekubali hii kitu maana inakokwenda inapanda thamani kubwa sana
 
[emoji15] mara ya mwisho nimeangalia ilikuwa $2800 juzi kati tu apo. yaan inapanda kwa kasi ya 4g. Nilikuwa nasubiri ipungue angalau ninunue ata 0.001 sasa Duh naona inazidi kunipiga gape
 
nini maana ya Cryptocurrency !

historia
.. tokea dunia kuanza tunajua mwanadamu mpaka leo ! hii.tumeweka thamani ya kitu mfano tulianza na thamani ya vitu kwa vitu mfano(kubadilishana chunvi kwa mahindi n.k kutokana thamani yake).yalipo fika mapinduzi kuwekwa thamani ya pesa ndipo pesa ikawa imeshika thamani ya kitu chochote.tuseme kuwa chunvi ni shilingi 100 hiyo ndiyo thamani yake. mpaka sasa pesa ndiyo ina thamani ya kukifanya kitu chochote.ndo maana zamana ya kitu chochote utasimiwa na pesa kulingana na thamani.

kwa nini thamani hiwe pesa!
pesa tunavo jua ina uwezo kushusha na kupandisha thamani ya kitu chochote, hiwe kiuchumi,biashara n.k.

nini maana Cryptocurrency !
ni kitu fulani kupewa thamani ya pesa kwa ajili ya matumizi yatakayo endana na thamani yake katika pesa yoyote kwa njia yake.
kwa nini imekuwepo Cryptocurrency.
kutokana watu kuweka thamani ya vitu yani mfano dhahabu,almasi na vitu vengine ndo maana usishangae kuona benki hata dhahabu ina akaunti yake na madini mengine kwa benki zinazo tumia mfumo huu.

kuanzishwa kwa Cryptocurrency
kuanzishwa kwake ni kutokana kukuwa kwa uchumi na teknolojia.na mifumo mingi ya matumizi ya pesa kuwa kwenye miamala ya electroniki.ndipo mfumo huu umeweza kuzalisha kama bitcoin na wengine..

nitaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
m pesa na masta kadi vinantosha

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kuna kitu hapa hatujawekewa wazi tukajua ama ni delaying tactics zinafanywa na washauri wa Bank kuu/Benk zetu hapa nchini kwa makusudi ili kusaidia ama wanatumika na jirani kudhoofisha biashara yoyote mpya ianzie kwa jirani halafu tutumie platforms za majirani faida iende kwao.

Nasema hivi kwa sababu wakati kwetu wanazuiya wenzetu Kenya wameshatengeneza online payments system inaitwa bitpesa wakishirikiana na wanigeria. Cha ajabu Bitpesa inafanya transactions za bitcoin kwa Mpesa,Tigopesa na Airtel money. Yani mtu mwenye bitcoin anatuma bitcoin zake huko Bitpesa halafu unafanya drawing kwa mobile payments system za hayo makampuni. Sasa najiuliza je centralization yetu hapi inaaply vip hapo?
Sasa kiongozi sawa tutacheza je kufanya withdraw unatumia kitu gani maana hujafafanua
 
nini maana ya Cryptocurrency !

historia
.. tokea dunia kuanza tunajua mwanadamu mpaka leo ! hii.tumeweka thamani ya kitu mfano tulianza na thamani ya vitu kwa vitu mfano(kubadilishana chunvi kwa mahindi n.k kutokana thamani yake).yalipo fika mapinduzi kuwekwa thamani ya pesa ndipo pesa ikawa imeshika thamani ya kitu chochote.tuseme kuwa chunvi ni shilingi 100 hiyo ndiyo thamani yake. mpaka sasa pesa ndiyo ina thamani ya kukifanya kitu chochote.ndo maana zamana ya kitu chochote utasimiwa na pesa kulingana na thamani.

kwa nini thamani hiwe pesa!
pesa tunavo jua ina uwezo kushusha na kupandisha thamani ya kitu chochote, hiwe kiuchumi,biashara n.k.

nini maana Cryptocurrency !
ni kitu fulani kupewa thamani ya pesa kwa ajili ya matumizi yatakayo endana na thamani yake katika pesa yoyote kwa njia yake.
kwa nini imekuwepo Cryptocurrency.
kutokana watu kuweka thamani ya vitu yani mfano dhahabu,almasi na vitu vengine ndo maana usishangae kuona benki hata dhahabu ina akaunti yake na madini mengine kwa benki zinazo tumia mfumo huu.

kuanzishwa kwa Cryptocurrency
kuanzishwa kwake ni kutokana kukuwa kwa uchumi na teknolojia.na mifumo mingi ya matumizi ya pesa kuwa kwenye miamala ya electroniki.ndipo mfumo huu umeweza kuzalisha kama bitcoin na wengine..

nitaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan kiongoz kama hutojal Naomba mwongozo kidogo kuhusu BITCLUB NETWORK?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
halafu anayejua jinsi ya kuhamishia kwenye PayPal account anielekeze please
 
Back
Top Bottom