Watanzania tunajiandaaje na kasi hii ya mabadiliko ya fedha za kimtandao?

Hivi hawa watu inamaana maswali yao hayajaonekana

alafu naona kama vile mtoa mada anaendelea tu kulisongesha sasa sijajua ni kwamba hataki wajue siri ya jinsi ya kumake money ama
Bitcoin is a decentralized digital currency, it is not backed by any single country or bank and is usable anywhere in the world by anyone with a computer or smartphone and access to the Internet. To read up more on what Bitcoin is you can take a look at these websites.

What is bitcoin? - CoinDesk

What is Bitcoin? Introductory video and current Bitcoin price.
 
Kiwango unaweza kuanzia kununua bitcoin

Sent using Jamii Forums mobile app
Bitcoin moja asubuhi hii imefika Tsh: 9,748,628.39 kwa maana ya 4354.01 US Dollar
Hivyo ujue kuinunua ni value ya chini ya hapo. Kwa hapa TZ hakuna muuzaji rasmi aliyesajiliwa isipokuwa nimeona kuna website zinajinadi kuuza bitcoin hapa kwetu ziko ile ya kenya Bitpesa,Reminato na Localbiticoin wanauza. kote huko wauzaji ni individual wenye account kwenye hizo site na wanatangaza kuuza coin zao wakiweka aina ya transaction wanayofanya km Tigo pesa,mpesa nk(Hapa ndio ninakojiuliza kuna maana gani kutoruhusu rasmi huu mfumo mpya wa hizi crypto?). Only be careful na utakayefanya naye mawasiliano kabla ya kumtumia hela na ni vizuri ukajitahidi kumfikia mkafanya mauziano usije lizwa. Pia nakushauri kwa kuwa zina tabia ya kupanda na kushuka ni vizuri ukasubiri zishuke ndio ununue halafu km utatumia kufanya manunuzi au kuziuza ufanye hivyo zikipanda
 
Bitcoin is not a pyramid scheme. Its digital money. Kila fursa nyie mwasema pyramid. Fanya research. Jiridhishe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majirani washatupita mda tu mbona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale mnaotaka kuuza bitcoins zenu huu ndio muda wa kupata faida. Waweza iuza au kununulia bidhaa mbalimbambalu @ a original values value na ukabaki na bitcoin ambayo thamani yake ukilinganisha na ulivyoinunua unabaki na faida kubwa.
 
Wizi mtupu, kuna watu wameweka hela yao toka mwaka jana mpaka leo hawajapata chochote, wanalia tu. Wizi wizi wizi !!!
 
Asubuhi ya leo imefika $5922.61
Hii kitu km Taifa tuiangalie huko tuendako
 
Bitcoin value iko kwenye bubble -- fueled by speculators. The best use of bitcoin is as a store of value, uncontrolled by the unelected central-bankers and governments who conjure money out of thin-air. While the bubble last, speculation is the name of the game.
 
Usisahau elimu yetu ni ya kukariri,kwa hiyo hadi akili iwasogee watoa maamuzi inachukua muda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…