Watanzania tunajifunza Nini kwa Vijana wa Bangladesh Waliomchagua Muhammad Yunusi Mwenye Umri wa Miaka 84 kuongoza Serikali ya Mpito?

Tanzania tuchukue hatua tuiondoe hii ccm ili tuweke wazalendo watakaoifanya iendelee Kwa kasi.
CCM ndio tumaini la watanzania na ndio chama pekee chenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kuliletea maendeleo na matumaini kwa watu wote wenye kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa.
 
Kwasababu ni mtu smart kichwani, kinachoangaliwa ni kwamba kichwani kwako kuna Nini au ulishawahi kufanya chochote kilichotoa majibu chanya Kwa jamii na Wala si suala la umri, rangi... Kumbuka ana tuzo ya Nobel... Je, kwani ulitaka kumaanisha Nini? au ulitaka kufananisha Hilo tukio (uzee wa M. Yunus) na tukio la nchi gani Afrika?
 
Maoni yangu nimeshayaeleza kwa undani sana ndani ya andiko langu.
 
Sasa huyu aliyesema ni kiziwi anatofauti na hao.

Uzi mzuri ila unataka kuleta siasa zako za kichama.
Ndio maana sisi huku tunamuamini mzee mkuchika. 2025 tunmpa tena.

Vijana wengi ni uroho tu.

Ingefaa mtu kupata nafasi ya kugombea hasa nafasi za kisiasa walau uwe 50 yrs. Na kuwa rais uanze 60yrs.
 
Rais wetu ni msikivu sana na ndio maana amekuwa akitatua kero mbalimbali kwa wakati zinazojitokeza mbele yetu kama Taifa
 

Hata sisi tukiamua kuanza upya tunaweza kumchagua Mzee Warioba kuongoza serikali ya Mpito ..... Huwezi ukatoa fisadi ukaweka fisadi lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…