Watanzania tunajifunza Nini kwa Vijana wa Bangladesh Waliomchagua Muhammad Yunusi Mwenye Umri wa Miaka 84 kuongoza Serikali ya Mpito?

Tumejifunza kuwa vijana mamia ya maelfu ambao hawana ajira wakihamasishwa vizuri wakaelewa kuwa utawala dhalim wa CCM ndiye mchawi wao wanaweza kutumika vizuri kuiondoa serikali hii dhalim ya CCM madarakani.
 
Hivi Luca we unaishi hapa bongoo au upo Tehran haya mambo unayachukulia poaa we kutwa kusifiaa tuuu , kusifia tuuu hata watu wakitoa ya moyoni kwa mustakabali wa nchi wewe ni kububujikwa machozi ya furaha muda wote tuuu
Luka ni msukule haujitambui ukilishwa unga na maji unaona kuwa kila kitu kiko sawa unabubujikwa na machozi ya furaha. ephen_ .
 
Vijana wetu ndio hao walimpiga Mzee ambae aliwahi kuwa mpaka PM
Ooh nchi yangu
Nchi ya Bangladesh ina watu takriban milioni 174 karibu mara tatu ya watz na bado hatujielewi hata tukiwa 40 tu hatuelewani
 
muhimu zaidi la kujifunza hapa ukiwaweka kando viongozi wake waandamizi wa wa adilifu na waaminifu wa sasa na waliostaafu

ni kwamba licha ya ukongwe wake katka siasa Tanzania, Africa na duniani kote CCM ni chama kikongwe lakini, mipango mikakati yake, malengo na dhamira yake kwa wananchi, uimara na umadhubuti wake katika kuongoza n.k unafanya chama hiki kikongwe, daima kiaminike, kikubalike na wakati wote katika kila Uchaguzi kinakabidhiwa ridhaa na dhamana na wananchi kwa kushinda kwa kishindo uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi kila baada ya uchaguzi wa miaka mi5 kikatiba 🐒

uadilifu, uaminifu, uwajibikaji, uwazi, uhuru na haki ndio haswa msingi wa yeyote kukumbukwa na kuaminiwa kama ilivyo CCM, wanachama na waandamizi wake 🐒
 
Tumejifunza kuwa vijana mamia ya maelfu ambao hawana ajira wakihamasishwa vizuri wakaelewa kuwa utawala dhalim wa CCM ndiye mchawi wao wanaweza kutumika vizuri kuiondoa serikali hii dhalim ya CCM madarakani.
CCM ndio tumaini la vijana .Ndio maana wanaendelea kuiunga mkono kwa nguvu kwa kuwa wameona namna inavyowajali na kuwatengenezea fursa mbalimbali za ajira.
 
Ma CHADEMA yenyewe yanaendelea kuvurugana tu
 
Kweli wewe huna akili kabisa. Umeelewa swali au umekurupuka tu kama kuku anayetoka kutaga?
Wewe pimbi si umeuliza kipaji changu ndiyo nimekuambia mimi ni kuhani,kumbuka sijasema padri,pastor au askofu nimesema ni Kuhani.
 
Hawakunchagua yule kuiongoza Serikali ya mpito. Ile inahusiana na Katiba yao, kumtafuta mtu neutral kama kuna gap ya uongozi, usually huwa wanamweka Chief Justice,( ili asiingie madarakani mtu ambaye hajachaguliwa na wananchi aanze kuuza bandari,hifadhi za ardhi,na kila kitu).
Kwa hiyo,kwa makusudi,Katiba yao ina provision ya interim leader.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…