Watanzania tunajifunza Nini kwa Vijana wa Bangladesh Waliomchagua Muhammad Yunusi Mwenye Umri wa Miaka 84 kuongoza Serikali ya Mpito?

Ni kweli... Lakini matumaini yepi?
Matumaini ya kuona maisha yao yakiwa bora kila uchao, Matumaini ya kuona unaweza kufanya biashara na shughuli yoyote ile na ukaweza kufanikiwa, Matumaini ya kuona unaweza ukajiajiri Mwenyewe na maisha yakasonga vizuri kabisa na kujipatia kipato kizuri.
 
Tuna jifunza kwamba Umasikini wa vijana wa sasa unasababishwa na serikali iliyopo madarakani
 
Wewe jamaa ni tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…