Watanzania tunalihesabu kama goli halali japokuwa VAR imekataa

Watanzania tunalihesabu kama goli halali japokuwa VAR imekataa

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Hebu tujadili goli lililokataliwa usiku wa jana UEFA, Genk vs Liverpool.

Siku zote nimekuwa nikizipinga hizi VAR technology. Katika baadhi ya maamuzi hazitendi haki na yote ni kwasababu anayezi-command ni binadamu.

Swali moja la kujiuliza:

Ingekuwa Liverpool ndiyo wamefunga goli lile kwa style ileile alivyofunga Samata lingekataliwa?

Sometimes tukubali tu kuna kawivu fulani kwa wenzetu hawa. Kitu kikifanywa na Mweusi wanakuwa wazito kukikubali. Naungana mkono na baba yake Mbwana, Mzee Samata, amesema leo kupitia Azam TV kuwa Wazungu hata rekodi ya kukimbia aliyeiweka yule mkimbiaji Mkenya huko Ulaya ati wameshindwa kuitambua japo wamekiri kuwa amevunja rekodi.
 
Hebu tujadili goli lililokataliwa usiku wa jana Uefa Genk vs Liverpool
Siku zote nimekua nikizipinga hizi Var technology...ktk baadhi ya maamuzi hazitebdi haki na yote sababu anayezi command ni binadamu ...

Swali moja lakujiuliza
Ingekua Liverpool ndiyo wamefubga goli lile kwa style ile ile alivyofunga Samata lingekataliwa ?

Sometimes tukubali tu kuna ka wivu fulani kwa wenzetu hawa kitu kikifanywa na mweusi wanakua wazito kukikubali,naungana mkono na baba yake Mbwana mzee Samata amesema leo kupitia Azam tv kuwa wazungu hata rekodi ya kukimbia aliyeiweka yule mkimbiaji mkenya huko Ulaya ati wameshindwa kuitambua japo wamekiri kua amevunja rekodi.
Mbona la Mane au Chamberlain hayajakataliwa,?
 
Tulikubali ama tulikatae haibadilishi ukweli kwamba lile sio goli Junya Ito alikuwa offside.
 
Swali moja la kujiuliza:

Ingekuwa Liverpool ndiyo wamefunga goli lile kwa style ileile alivyofunga Samata lingekataliwa?
Ndio kusema Genk ni timu ya weusi na Liverpool ya wazungu?
 
watanzania cjui tunakwama wapi, kisa ni samata kafunga ndo mnaleta hizo kelele. acheni kupingana na ukweli kama ingekuwa ni goli, mpira ungeanza kati.
 
1) Keita
2) Mane
3) Fabinho
4) Chamberlain
5) Wijnaldum
6) Gomez

7) Origi

Hao ni Wachezaji 7 wa Liverpool waliocheza Jana, Sasa Tuhesabie na Genk ni Wachezaji wangapi Weusi waliocheza Jana? Nadhani tuanzie hapo.
We utakua liver kulialia
 
watanzania cjui tunakwama wapi, kisa ni samata kafunga ndo mnaleta hizo kelele. acheni kupingana na ukweli kama ingekuwa ni goli, mpira ungeanza kati.
Tatizo tuongelee utata wa maamuzi hivi ni kipi cha kufuata kati ya Var na Line's man ?
Mwanzo kibendera alishindwa kulikubali au kulikataa goli,mara ikasemwa faul ilifanyika baada ya dakika 4 ndiyo tunaambiwa eti ilikua offside kiatu kilionekana kuzidi kidogo !
 
1) Keita
2) Mane
3) Fabinho
4) Chamberlain
5) Wijnaldum
6) Gomez

7) Origi

Hao ni Wachezaji 7 Weusi wa Liverpool waliocheza Jana, Sasa Tuhesabie na Genk ni Wachezaji wangapi Weusi waliocheza Jana? Nadhani tuanzie hapo.
Sisi huku mbagala tunajua kuwa becker kapasuliwa na Samagoal hayo mengine ni mbwembwe tu
 
1) Keita
2) Mane
3) Fabinho
4) Chamberlain
5) Wijnaldum
6) Gomez

7) Origi

Hao ni Wachezaji 7 Weusi wa Liverpool waliocheza Jana, Sasa Tuhesabie na Genk ni Wachezaji wangapi Weusi waliocheza Jana? Nadhani tuanzie hapo.
Mchezo wa kwanza, Samatta huyo huyo alikula Red Card, lakini akaokolewa na hiyo hiyo VAR.
Mbona hatukulalamika?
 
1) Keita
2) Mane
3) Fabinho
4) Chamberlain
5) Wijnaldum
6) Gomez

7) Origi

Hao ni Wachezaji 7 Weusi wa Liverpool waliocheza Jana, Sasa Tuhesabie na Genk ni Wachezaji wangapi Weusi waliocheza Jana? Nadhani tuanzie hapo.
Watu waachane na hisia za kudai ubaguzi ni mambo ya zamani sana
 
Tumekosa kazi za kufanya,ndiyo maana tunahangaika na vitu visivyo vya msingi
 
Back
Top Bottom