ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hebu tujadili goli lililokataliwa usiku wa jana UEFA, Genk vs Liverpool.
Siku zote nimekuwa nikizipinga hizi VAR technology. Katika baadhi ya maamuzi hazitendi haki na yote ni kwasababu anayezi-command ni binadamu.
Swali moja la kujiuliza:
Ingekuwa Liverpool ndiyo wamefunga goli lile kwa style ileile alivyofunga Samata lingekataliwa?
Sometimes tukubali tu kuna kawivu fulani kwa wenzetu hawa. Kitu kikifanywa na Mweusi wanakuwa wazito kukikubali. Naungana mkono na baba yake Mbwana, Mzee Samata, amesema leo kupitia Azam TV kuwa Wazungu hata rekodi ya kukimbia aliyeiweka yule mkimbiaji Mkenya huko Ulaya ati wameshindwa kuitambua japo wamekiri kuwa amevunja rekodi.