Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

Huku loliondo pia ni pazuri ila pesa hakuna[emoji23][emoji23]
 
mimi nipo soweto south afrika
Dah.. basi na mwanaJF aliyeko Reijaviki..kama akipita barabara ya Fistulendivika karibu na flaiova ya Hufuabiki...basi apunge mkono tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚πŸ˜›
 
Ndege yenyew sijawahi kupanda.
Hongereni watanzania wenzangu mliopo nje ya nchi. Mmepona mambo mbali mbali yanayoendelea huku kwenye "sirikali" yetu.
Tuachane na hayo NAOMBENI MNITAFUTIE MCHUMBA HUKO na Mimi siku anitumie nauli nikamtembelee.
Kingereza nitajifunza.
Asanteni
 
Safi sana mkuu,Me pia nafkiria kwenda Denmark,wataalam wanaoelewa visa kupata kunachangamoto gani??
 
Daah..aiseee,,serikali imefanyaje tena mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…