Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

Kiongozi me pia na tamani kufanya kazi Australia lakini elimu yangu ni kidato cha nne sina ata satifiketi zaidi ya kuwa na kipaji cha kuogelea tuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi me pia na tamani kufanya kazi Australia lakini elimu yangu ni kidato cha nne sina ata satifiketi zaidi ya kuwa na kipaji cha kuogelea tuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa sinuvuke bahari.. Australia ipo kayikati ya maji waweza kwenda kwa kuogelea kama ulivyosema unawexa kuyapa maji

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kweli watanzania waliopo mtandaoni wengi wapo nyuma sana, uzi kama huu kwa wanigeria utakuta wanapeana madini mengi sana na wapo serious hasa. Hapa ni mizaha tu mwanzo mwisho,

Anyway Hongera sana mtoa Mada, Jah Bless ya!
 
Sana sana mkuu, Wanaijeria wanasaidiana sana, kuanzia kwenye sanaa wakiwa kwao au nje, wakiwa nje na kwenye vitengo vyao, hasa uhamiaji, wanawasaidia sana wenzao, wako proud na pride kusaidiana, cha kusikitisha utasikia WaTZ wakijisfia kabisa kwamba hawataki kujihusisha na wenzao wa nyumbani kwa kuogopa kuharibiwa mambo yao! 😡😡😡
Tuna matatizo wale Diaspora wa TZ...
 
Back
Top Bottom