Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mickey mouse degree etiSijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Nikichomaanisha ni kwamba huenda wengi wamepitishwa kwenye kujifunza hizo basic knowledge mashuleni ila hawakuwa tayari kujifunza.Sijui unamaanisha nini?
Maana ya kumuuliza swali lile ni kumuonyesha huwezi kujua kila kitu na kutojua kila kitu si ujinga
Ameshindwa kujibu nadhani ameenda google kupitia kisha aje
Lkn amedhibitisha kwamba hata yeye hajui kila kitu kwahiyo asiowaone wengine hawana maana
Walitakiwa wavijue kivipi mkuu. Kwani msomi ni lazma ajue kila kitu regardless ya fani yake ?..Hapa anazungumzia wasomi kutojua vitu basics, ambavyo walitakiwa wavijue.
Elimu ya vipimo unatakiwa kufundishwa kwa vitendo siyo kwa nadharia ya makaratasi.Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?[emoji2375][emoji2375] , bila kujali kwamba kuna suala la upana.
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Wanasema futi ni lile kanyagio....unyao....
Bilashaka hili ndio jina refu kuliko yote katika dikishonari,,niliwahi kuona manara kalipostpneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis?
Hakika mkuuBilashaka hili ndio jina refu kuliko yote katika dikishonari,,niliwahi kuona manara kalipost
Ila wanakuja na hela ili biashara zifanyike mshahara upatikane.Hao ndio wale jamaa ukiwakuta mtaani wana dharau somo la hisabati kwa kusema 'hesabu za maumbo zitanisaidia nini?'
Kuna ambao hata meter hawajui waliisikia sikia tu wakaikariri wakajaza makaratasi ya mtihani wakafaulu.Walitakiwa wavijue kivipi mkuu. Kwani msomi ni lazma ajue kila kitu regardless ya fani yake ?..
Naelewa unavyovisema pengine ni basic math lakini watu wengi wanajua meters Ila square meter sio rahisi
Hizi hoja mi naonaga za kipuuzi kwani mtu akishakuwa msomi ndo nn sasa??, utakuta mtu anakwambia Mtu unadegree halafu hata kumuelekeza mtu njia huwezi sasa kwani watu wanasoma kuelekeza watu njia??Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Kuliko kubwabwaja hudhani ingekuwa busara kutoa somo sasa.Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
PointKuna ambao hata meter hawajui waliisikia sikia tu wakaikariri wakajaza makaratasi ya mtihani wakafaulu.
I presume wewe hapo robo ya katiba yako ya nchi huijuwi pia historia ya taifa na hata lugha yako ya kiswahili, na ulisoma shule ya msingi na sekondari na unatakiwa uvijuwe. Sio wewe tu watu kibao humu hawajuwi sasa kwanini uanze kumbeza mwenzako wakati pia yeye atakushangaa vitu vingi vya kawaida huvijuwi kama raia.Ndio maana F za hesabu ni nyingi sana yaani watu mna mtetea msomi kwa kutokujua square meter Moja Ina maana gani. Eti specilizition Sasa hata mtendaji wa kataa Ambae ana diploma ya Community development asipo jua square meter ataweza kutatua migogoro ya ardhi katani kwake?