Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

Sijui unamaanisha nini?

Maana ya kumuuliza swali lile ni kumuonyesha huwezi kujua kila kitu na kutojua kila kitu si ujinga

Ameshindwa kujibu nadhani ameenda google kupitia kisha aje

Lkn amedhibitisha kwamba hata yeye hajui kila kitu kwahiyo asiowaone wengine hawana maana
Nikichomaanisha ni kwamba huenda wengi wamepitishwa kwenye kujifunza hizo basic knowledge mashuleni ila hawakuwa tayari kujifunza.

Mtoa mada shida yake ipo kwenye idadi kubwa sana ya hao wasiojua hizo metre na sq metre(hata wale walofika ngazi ya shahada ya kwanza), pamoja na kuwa hakuna mtu anayejua vitu vyote.
 
Je, unaelewa nini kuhusu pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis?

HAKUNA ANAJUAE KILA KITU. Maisha sio ligi wala vita! Hizo university ni kukariri na kumeza madesa na vitini kama kasuku.
 
Hapa anazungumzia wasomi kutojua vitu basics, ambavyo walitakiwa wavijue.
Walitakiwa wavijue kivipi mkuu. Kwani msomi ni lazma ajue kila kitu regardless ya fani yake ?..

Naelewa unavyovisema pengine ni basic math lakini watu wengi wanajua meters Ila square meter sio rahisi
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?[emoji2375][emoji2375] , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Elimu ya vipimo unatakiwa kufundishwa kwa vitendo siyo kwa nadharia ya makaratasi.

Wauza viwanja anakuambia kiwanja 20×20 ukifka site mnapima kwa miguu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Walitakiwa wavijue kivipi mkuu. Kwani msomi ni lazma ajue kila kitu regardless ya fani yake ?..

Naelewa unavyovisema pengine ni basic math lakini watu wengi wanajua meters Ila square meter sio rahisi
Kuna ambao hata meter hawajui waliisikia sikia tu wakaikariri wakajaza makaratasi ya mtihani wakafaulu.
 
Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Hizi hoja mi naonaga za kipuuzi kwani mtu akishakuwa msomi ndo nn sasa??, utakuta mtu anakwambia Mtu unadegree halafu hata kumuelekeza mtu njia huwezi sasa kwani watu wanasoma kuelekeza watu njia??
Sio kila shahada inafundisha mambo ya vipimo kila mtu na taaluma yake, mtu haelewi muelekeze
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
Kuliko kubwabwaja hudhani ingekuwa busara kutoa somo sasa.
 
Vipimo ni vitu vnahtaj matumizi ya mara kwa mara ndpo uvijue mana ni ving kusoma had phd haitosh kusema anajua vyote mpaka nae ajikumbushe kdgo
 
Nakumbuka kuna kipindi nmemwambia mtu nilitembea Mile kama kumi hv. Akawa hajaelewa umbali anatolea tu mifano kama hapa mpaka wap hv? Ikabdi nimwambie kwa KM nd akaelewa
 
Ndio maana F za hesabu ni nyingi sana yaani watu mna mtetea msomi kwa kutokujua square meter Moja Ina maana gani. Eti specilizition Sasa hata mtendaji wa kataa Ambae ana diploma ya Community development asipo jua square meter ataweza kutatua migogoro ya ardhi katani kwake?
 
I presume wewe hapo robo ya katiba yako ya nchi huijuwi pia historia ya taifa na hata lugha yako ya kiswahili, na ulisoma shule ya msingi na sekondari na unatakiwa uvijuwe. Sio wewe tu watu kibao humu hawajuwi sasa kwanini uanze kumbeza mwenzako wakati pia yeye atakushangaa vitu vingi vya kawaida huvijuwi kama raia.
Einstein aliwahi kusema, "Every body is a genius, but If you can judge a fish by its ability of climbing the tree it will live its whole life believing that it's stupid"
Ndo hii kitu tuko nayo binadamu, kila mtu akianza kubrag hapa vitu vya jawaida kwenye profession yake tutajiona wajinga wote humu. Learn to stay humble sometimes
 
Back
Top Bottom