Watanzania tunapopiga simu katika vituo vya redio

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Sijui ni upopoma ama ni ushamba. Kila siku watangazaji wanasisitiza unapopiga simu katika kituo cha matangazo, zima radio yako au punguza kabisa sauti. Lakini bado jitu zima na ndevu zake linategemewa na familia linataka kujisikiliza wakati limepiga simu redioni.

Kwa kweli hapa ndio unapata picha uelewa wa Watanzania ni wa aina gani. Na hili suala linajirudia kila siku.
 
Sawa na dini, kila siku tunawaambia huko makanisani kunapofanyika miujiza mnaibiwa, lakini hamuelewi.
Tukiwaambia kuwa Mungu hayupo, hapo ndiyo mnapagawa kabisa!
Sawa na lalamiko lako kiongozi,
Kila siku watu wanaambiwa wazime radio au wapunguze sauti ndipo wapige simu, lakini wapi.
Mtu kila asubuhi anakimbizana huku na huko eti anaenda kuchukua uponyaji wa maombi.
 
Hahaa mpiga simu radion alikuwa Muhiri Obale Naaaaaaaam, Top Manyota na Lawena Nsonda tu

wengne ni malimbukeni tu
Ningekuwa mtangazaji aisee me sina muda wa majadiliano nimepokea simu jitu limebaki tu kuita haloo haloo kwa sababu ya upopoma wake kuacha radio sauti juu. Me nakata tu.
 
Hahaa mpiga simu radion alikuwa Muhiri Obale Naaaaaaaam, Top Manyota na Lawena Nsonda tu

wengne ni malimbukeni tu
Muhiri obaleeee alitisha sana
naitwa chacha ukiita muhiri obale hujakosea muhiri obale naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammmmmmmmmm
 
Ni kwa vile tu hujapata nafasi ya kuwasikiliza na watu wa nchi nyingine,na wao hivyohivyoo😀😀lakini nafikiri hata mimi siku nikipiga nahisi nitajisikiliza🤗🤗why not😀😀😀
 
Sasa unataka ujisikie ili iweje, kwanini usisikilize tu kwenye simu tu?
Ni kwa vile tu hujapata nafasi ya kuwasikiliza na watu wa nchi nyingine,na wao hivyohivyoo[emoji3][emoji3]lakini nafikiri hata mimi siku nikipiga nahisi nitajisikiliza[emoji847][emoji847]why not[emoji3][emoji3][emoji3]
 
jamani, sa watajuaje kuwa zile ni sauti zao.? mana siku hizi kila kitu ni usanii.
 
Hivi kuna binadamu bado wanapiga simu Redioni?[emoji56]
 
Hahaa mpiga simu radion alikuwa Muhiri Obale Naaaaaaaam, Top Manyota na Lawena Nsonda tu

wengne ni malimbukeni tu
Sio Mwiro Bale mzee wa naaaaaaaaaam enzi hizo za RFA hao jamaa wanasikika bado kwenye kile kipindi cha jumapili cha ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…