Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Sijui ni upopoma ama ni ushamba. Kila siku watangazaji wanasisitiza unapopiga simu katika kituo cha matangazo, zima radio yako au punguza kabisa sauti. Lakini bado jitu zima na ndevu zake linategemewa na familia linataka kujisikiliza wakati limepiga simu redioni.
Kwa kweli hapa ndio unapata picha uelewa wa Watanzania ni wa aina gani. Na hili suala linajirudia kila siku.
Kwa kweli hapa ndio unapata picha uelewa wa Watanzania ni wa aina gani. Na hili suala linajirudia kila siku.