Watanzania tunasikitisha sana sijui tumelogwa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kwa mambo yanayoendelea nchin kwa sisi vijana tulio na macho matatu kwa kweli tunasikitika sana inafika hatua najiuliza hivi ni nan aliyetuloga?

Ukipita mabarabaran kila nguzo kuna tangazo la uganga na waganga wa kienyeji

Wanawake wote wanalalamika kutokuridhishwa na waume zao

Wimbi la wanawake kujiuza limeongezaka

Wimbi la matahira limeongezeka

Tumefika hatua had tunachimbia vichwa na mafuvu ya binadamu uwanja wa taifa? Jaman kweli sisi wajuu wa mwenye heri nyerere ndo tumefika huko

cc mbiti

LONDON BABY
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kwa mambo yanayoendelea nchin kwa sisi vijana tulio na macho matatu kwa kweli tunasikitika sana inafika hatua najiuliza hivi ni nan aliyetuloga au tumelogwa na mshana jr

Nani aliyeturoga au tumelogwa na mshana jr

cc mbiti

LONDON BABY
Kwanini umtaje Mshana na Mzizi mkavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuache utani tutafute mamma ya kukomesha ushirikina, too much : angalia uwanja wa mpira (uchawi mtupu) Hayo mambo yapo, tuyakomeshe, uchawi ni sawa na "machine gun "tena nafuu risasi inaonekana utakwepa, utakwepaje uchawi?

Lakin mimi nahis lile fuvu pale uwanja wa taifa ni uchawi wa simba wakiongozwa na haji manara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kwa mambo yanayoendelea nchin kwa sisi vijana tulio na macho matatu kwa kweli tunasikitika sana inafika hatua najiuliza hivi ni nan aliyetuloga au tumelogwa na mshana jr

Ukipita mabarabaran kila nguzo kuna tangazo la uganga na waganga wa kienyeji

Wanawake wote wanalalamika kutokuridhishwa na waume zao

Wimbi la wanawake kujiuza limeongezaka

Wimbi la matahira limeongezeka

Tumefika hatua had tunachimbia vichwa na mafuvu ya binadamu uwanja wa taifa? Jaman kweli sisi wajuu wa mwenye heri nyerere ndo tumefika huko

Nani aliyeturoga au tumelogwa na mshana jr

cc mbiti

LONDON BABY
Mshana jr kahusika mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nguvu za kiuume zamalizwa na wanawake... Na venye wanawake tupo wengi inabidi waganga wajiongeze
Umeongea ukweli mtupu

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
inamaana mshana ni mchawi..? hivi akikufungulia mashtaka atakuwa amekosea?
 
Back
Top Bottom