Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kwa mambo yanayoendelea nchin kwa sisi vijana tulio na macho matatu kwa kweli tunasikitika sana inafika hatua najiuliza hivi ni nan aliyetuloga?
Ukipita mabarabaran kila nguzo kuna tangazo la uganga na waganga wa kienyeji
Wanawake wote wanalalamika kutokuridhishwa na waume zao
Wimbi la wanawake kujiuza limeongezaka
Wimbi la matahira limeongezeka
Tumefika hatua had tunachimbia vichwa na mafuvu ya binadamu uwanja wa taifa? Jaman kweli sisi wajuu wa mwenye heri nyerere ndo tumefika huko
cc mbiti
LONDON BABY