Kwanini umtaje Mshana na Mzizi mkavu.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kwa mambo yanayoendelea nchin kwa sisi vijana tulio na macho matatu kwa kweli tunasikitika sana inafika hatua najiuliza hivi ni nan aliyetuloga au tumelogwa na mshana jr
Ukipita mabarabaran kila nguzo kuna tangazo la uganga na waganga wa kienyeji
Wanawake wote wanalalamika kutokuridhishwa na waume zao
Wimbi la wanawake kujiuza limeongezaka
Wimbi la matahira limeongezeka
Tumefika hatua had tunachimbia vichwa na mafuvu ya binadamu uwanja wa taifa? Jaman kweli sisi wajuu wa mwenye heri nyerere ndo tumefika huko
Nani aliyeturoga au tumelogwa na mshana jr
cc mbiti
LONDON BABY
Soma ulicho andika ucoment tenaMbona HAUELEWI NA HUU UPUPU ULIOANDIKA WEWE VIPI???
Lakin mimi nahis lile fuvu pale uwanja wa taifa ni uchawi wa simba wakiongozwa na haji manaraTuache utani tutafute mamma ya kukomesha ushirikina, too much : angalia uwanja wa mpira (uchawi mtupu) Hayo mambo yapo, tuyakomeshe, uchawi ni sawa na "machine gun "tena nafuu risasi inaonekana utakwepa, utakwepaje uchawi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaTuache utani tutafute mamma ya kukomesha ushirikina, too much : angalia uwanja wa mpira (uchawi mtupu) Hayo mambo yapo, tuyakomeshe, uchawi ni sawa na "machine gun "tena nafuu risasi inaonekana utakwepa, utakwepaje uchawi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana jr kahusika mkuu!Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kwa mambo yanayoendelea nchin kwa sisi vijana tulio na macho matatu kwa kweli tunasikitika sana inafika hatua najiuliza hivi ni nan aliyetuloga au tumelogwa na mshana jr
Ukipita mabarabaran kila nguzo kuna tangazo la uganga na waganga wa kienyeji
Wanawake wote wanalalamika kutokuridhishwa na waume zao
Wimbi la wanawake kujiuza limeongezaka
Wimbi la matahira limeongezeka
Tumefika hatua had tunachimbia vichwa na mafuvu ya binadamu uwanja wa taifa? Jaman kweli sisi wajuu wa mwenye heri nyerere ndo tumefika huko
Nani aliyeturoga au tumelogwa na mshana jr
cc mbiti
LONDON BABY
Umeongea ukweli mtupuHizo nguvu za kiuume zamalizwa na wanawake... Na venye wanawake tupo wengi inabidi waganga wajiongeze
Acha kujidanganya mkuu, hata rusasi hauwezi kukwepa.Tuache utani tutafute mamma ya kukomesha ushirikina, too much : angalia uwanja wa mpira (uchawi mtupu) Hayo mambo yapo, tuyakomeshe, uchawi ni sawa na "machine gun "tena nafuu risasi inaonekana utakwepa, utakwepaje uchawi?
Sent using Jamii Forums mobile app