Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataanzaje kuyafungua hayo mkuu, uchawi hauthibitishwi mahamakaninamaana mshana ni mchawi..? hivi akikufungulia mashtaka atakuwa amekosea?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji115]Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kwa mambo yanayoendelea nchin kwa sisi vijana tulio na macho matatu kwa kweli tunasikitika sana inafika hatua najiuliza hivi ni nan aliyetuloga au tumelogwa na mshana jr
Ukipita mabarabaran kila nguzo kuna tangazo la uganga na waganga wa kienyeji
Wanawake wote wanalalamika kutokuridhishwa na waume zao
Wimbi la wanawake kujiuza limeongezaka
Wimbi la matahira limeongezeka
Tumefika hatua had tunachimbia vichwa na mafuvu ya binadamu uwanja wa taifa? Jaman kweli sisi wajuu wa mwenye heri nyerere ndo tumefika huko
Nani aliyeturoga au tumelogwa na mshana jr
cc mbiti
LONDON BABY
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]Haya bana mshana juniour kam zis wei pliz
[emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]inamaana mshana ni mchawi..? hivi akikufungulia mashtaka atakuwa amekosea?
Hahahahaha[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji115]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaogopeka sana nyie watu humu ndan[emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe we ni mchawi!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbe we ni mchawi!?
kumbe umaskini ujinga na magonjwa si matatizo kumbe wewe ndo tatizo..?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbe we ni mchawi!?
kumbe umaskini ujinga na magonjwa si matatizo kumbe wewe ndo tatizo..?