Watanzania tunateswa na home sickness, tuutumie Utandawazi kutafuta green pastures kwenye Nchi zingine

Watanzania tunateswa na home sickness, tuutumie Utandawazi kutafuta green pastures kwenye Nchi zingine

Umeongea ukweli hilo tatizo ni sugu nchini sijui ndio uzalendo au kukosa exposure
 
Usilaumu wengine, anza wewe kukamata hizo fursa. Wewe Kama umezikamata tayari, saidia wadogo zako au ndugu wa karibu nao wazikamate. Kuja huku kulalamika kwa watu huwajui ni ujinga
 
Back
Top Bottom