Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ni mtanganyika gani asiyetaka bandari iwe na ufanisi ili kupata mapato na kuendeleza uchumi wa taifa letu?
Mkataba wa DP World una ukakasi ndio maana Watanganyika tunapinga.
Tuwe na Katiba, Rais akiwa na kashfa kama hizi anachunguzwa na akibainika anashitakiwa.
Tukomae ili tupate Katiba mpya kabla ya 2025. La sivyo Watanganyika tutaumia.