Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Matusi kuna hoja hapo?Wewe mfuasi kindakindaki wa Yule shetani Lucifer tangu lini ukawa na mawazo sahihi ya kujenga nchi? Mbona enzi za Yule shetani mwenzio hukuwahi kuwa na mawazo kama haya?
Toa upumbavu wako hapa.
Unaota, hiyo Katiba ni husani ya Rais na CCM ndio wanaoweza amua.Ni mtanganyika gani asiyetaka bandari iwe na ufanisi ili kupata mapato na kuendeleza uchumi wa taifa letu.
Mkataba wa Dp world una ukakasi ndio maana watanganyika tunapinga.
Tuwe na katiba raisa akiwa na kashfa kama hizi anachunguzwa na akibainika anashitakiwa.
Tukomae ili tupate katiba mpya kabla ya 2025. La sivyo watanganyika tutaumia
.
Sio kila upumbavu unafaa kujibiwa Kwa hoja Bali upumbavu hujibiwa Kwa upumbavuMatusi kuna hoja hapo?
nyote mtakuwa wapumbavuSio kila upumbavu unafaa kujibiwa Kwa hoja Bali upumbavu hujibiwa Kwa upumbavu