Watanzania tupinge siasa za kinafiki. Anayesema no DP WORLD aseme sasa

Watanzania tupinge siasa za kinafiki. Anayesema no DP WORLD aseme sasa

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,407
Kuna watu wanasoma upepo, akiona ugali uko kwenye wanaosema YES wakati mawazo yake ni NO anakaa kimya kama hayupo.

Siku akiona upepo umebadilika anabadilika na kuanza kusema NO.

Lazima tujenge watanzania katika kusimamia kile wanachokiamini.

Ukiamua kusema NO sema no kwa hoja na ukiamua kusema YES sema yes kwa hoja ili taifa lijadili na kufanya maamuzi sahihi.

Siyo kusema kulingana na fursa.
 
Kuna watu wanasoma upepo, akiona ugali uko kwenye wanaosema YES wakati mawazo yake ni NO anakaa kimya kama hayupo.

Siku akiona upepo umebadirika anabadirika na kuanza kusema NO.

lazima tujenge watanzania katika kusimamia kile wanachokiamini. Ukiamua kusema NO sema no kwa hoja na ukiamua kusema YES sema yes kwa hoja ili taifa lijadili na kufanya maamuzi sahihi.

Siyo kusema kulingana na fursa.
Useme unachoamini ili upotee? 🤣 Unahisi sisi ni wageni kiasi hicho humu nchini.
 
Hili sakata la DP kila upande wapo wanatetea kwa kuwa wana maslahi binafsi

DP World na TICTS wanapambana kweli kweli kusajili wafuasi mashuhuri na maarufu
 
Hili sakata la DP kila upande wapo wanatetea kwa kuwa wana maslahi binafsi

DP World na TICTS wanapambana kweli kweli kusajili wafuasi mashuhuri na maarufu
hahahahahaha
 
Watu wamekua kina yuda eskarioti,wengine wamekua kina tomaso
 
Back
Top Bottom