Kuna watu wanasoma upepo, akiona ugali uko kwenye wanaosema YES wakati mawazo yake ni NO anakaa kimya kama hayupo.
Siku akiona upepo umebadirika anabadirika na kuanza kusema NO.
lazima tujenge watanzania katika kusimamia kile wanachokiamini. Ukiamua kusema NO sema no kwa hoja na ukiamua kusema YES sema yes kwa hoja ili taifa lijadili na kufanya maamuzi sahihi.
Siyo kusema kulingana na fursa.