Watanzania tupo nyuma sana kwenye kilimo cha mboga kwa mfumo wa Hydoponic tower garden

Watanzania tupo nyuma sana kwenye kilimo cha mboga kwa mfumo wa Hydoponic tower garden

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,960
Reaction score
2,945
Ukilinganisha na wenzetu wa Kenya, watanzania wengi tuko bize na kilimo cha kawaida (traditional farming), tukidhani ukubwa wa eneo ndio ukubwa wa kipato. Ukiangalia mitandaoni kwenye suala la kilimo biashara kwa ujumla wakenya wanatupiga gap kubwa sana na wao wanawekeza sana kwenye technology. Hebu angalia huu mfano hapo
 
Sio Kwamba Tanzania haina waataalamu wakutosha kwenye hiyo fani, basi TU CCM imeamua kuendesha nchi kwa science propaganda na kuacha science and technology development
 
Back
Top Bottom