Watanzania tupo salama kiasi gani katika mikono ya wanaotoa huduma za 'massage'?

Watanzania tupo salama kiasi gani katika mikono ya wanaotoa huduma za 'massage'?

Asante kwa elimu na tahadhali kwa wasingwaji na Serikali kwa ujumla.

Umewasahau wapaka rangi za kucha.

Wengine ukiachilia mbali na kusingwa, hata kupaka rangi sipendi kabisa sijui kuoshwa, kuminywa minywa vidole.

Nakwenda nikiwa nimeshasafisha miguu/mikono/kucha zangu nikifika kazi yake ni kunipaka rangi tu.
Mambo ya kushikwa shikwa vidole sijui nyayo hapana.
Hivi watoto wa watu hawaathiriki kisaikolojia ? Utakuta limama limepanua miguu na kakijana kapo hapo kanapumulia miguu. Mi mama mingine huwa inaharufu kali kutoka mapajani, wanasumbukaje vijana wetu. Kwa nini wasugua kucha wasiwe wabawake kama saluni.
 
Huku kwetu hata ukienda kwenye hizo massage kikubwa utaishia kupakwa pakwa mafuta tuu na kukandwa kandwa kama mtu anakanda unga wa ngano.

Wapo professional masseuse wachache sana hapa nchini na gharama yao sio chini ya 300,000 kwa session 1.
Hahahaa......huko mtuachie sisi wenye stress za ndoa tukajiburudishe kidogo.

Ukitaka afya nenda hospitali
 
Hivi watoto wa watu hawaathiriki kisaikolojia ? Utakuta limama limepanua miguu na kakijana kapo hapo kanapumulia miguu. Mi mama mingine huwa inaharufu kali kutoka mapajani, wanasumbukaje vijana wetu. Kwa nini wasugua kucha wasiwe wabawake kama saluni.
Tangantika hao vijana nao wananogewa kuona mapaja ya mama zao/Dada zao.
Hata wao pia nafikiri wananogewa kushikwa shikwa hivyo.
 
Uwekezani wake ukoje? Warembo unawatoa wapi
Kodi ya pango ya nyumba nzima , Pale sebuleni kochi moja la mteja/wateja , fridge na tv ukipenda , vyumbani kitanda cha massage and vinavyoambatana navyo mafuta ,taulo and the likes. Warembo kuna madalali wakutosha au weka tangazo online. Location , Standard na privacy ndio vina matter kwenye hii industry . Utapata mpaka mawaziri trust me
 
One day nina ndoto za kurudi kwenye hii industry kwa ukubwa zaidi , location iwe nje ya mji kabisa pembezoni mwa bahari sehemu kubwa private sana ikijumlisha extra service kama sauna ,swimming and bbq. Access iwe kwa members only . Private meeting rooms pia specially kwa wazee wa mipango kuja kudiscuss mambo yao
 
Mimi Kuna Moja nlifanyiwa maeneo ya masaki body to body 👅 👅 👅 Wazee acheni kwanza picha linaanza aliyekua akinifanyia akiivuta mujugulusi 🍆🍆 kwa kweli sikuvumilia nlimwaga two times alafu mtoto yule mikono yake lainii hata kuvunja biscuit sijui kama anaweza.Sema sikutaka kuomba mchezo ningeomba najua angenipa tu
 
Ulizingua. Atakua alichukia sana. Ungeomba gemu bili ingeongezeka na yeye angepata cha juu chake 🙄
 
Back
Top Bottom