Watanzania tupo tayari kupokea Electrical Vehicles (EVs)?

Kwangu mimi toka nmeanza fuatilia habari za new energy vehicles kampuni ya byd inanivutia sana kwa sasa Seagull na yangwang u8 zinaniumiza kichwa
 
Kifupi mtoa mada Mimi natamani sana haya magari mfano Tesla semi truck charge ya nusu saa tu unaenda zaidi ya mile 200
 
For that to happen itabidi kwanzq tu implement infrastructure za EV nchini. For now bado kwakweli otherwise itakuwa chaos
 
For that to happen itabidi kwanzq tu implement infrastructure za EV nchini. For now bado kwakweli otherwise itakuwa chaos
Umeongea point.

Infrastructure kuu za EV ni charging stations. Ambazo ni biashara kama ilivyo Petrol Stations. Kwahiyo, zikija kuna wafanyabiashara wataona fursa watazileta.

Issue kubwa ni kumpelekea gari fundi afu aseme mbona hamna engine. Imagine unampelekea gari fundi unakuta anafungua bonnet mbele anakuta ni sehemu ya kuweka mizigo.
 
Even education kwa vyuo vya ufundo akina veta and others, itabidi wa update mitaala kuendana na current tech. How to deal with electrical vehicles.
 
Hongera sana meta mada, kifupi kwa trend ya sasa kuhusu Global Climatic Changes, tutahitaji kuachana na mafuta, better EV
 
Tanzania hakuna infrastructure ya kuwezesha uwepo wa hayo magari kwa wingi.

Ni sehemu ipi Tanzania yenye charging station ya EV?
Gesi yenyewe Bado tunachechemea ktk filling stations zetu.
 
Mad Max news zako ni nzuri sana. Very educative. 👍

EV hazikwepeki. Maana hata hizi ICE, soon zitaondoka kwenye soko. Serikali iweke mikakati kuwashawishi watu wahamie kwenye EV. Kwa kuweka kodi na sera rafiki. Lakini pia vyuo vyetu vya ufundi na universities waweke mitaala mahsusi kuendana na mahitaji ya soko. EV is the future. The earliest we transition the better.
 
Hapo hapo kwenye vyuo vya ufundi, wenzetu Kenya wameanza.
 
Hiyo siyo issue sana
Kama petrol station zimejaa kila kona watashindwa kuweka na sehemu ya kuchajia?
Kuhusu mafundi, technology imerahisisha mambo ya ufundi wala sio issue kwa sasa.
Hebu fikiria wakati mobile phone zinaingia mafundi simu walikuwepo?
 
Hiyo siyo issue sana
Kama petrol station zimejaa kila kona watashindwa kuweka na sehemu ya kuchajia?
Kuhusu mafundi, technology imerahisisha mambo ya ufundi wala sio issue kwa sasa.
Hebu fikiria wakati mobile phone zinaingia mafundi simu walikuwepo?
Mafundi Saa wakajiongeza wakawa Mafundi simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…