BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Uzi mzuri sana na unafundisha. Naomba kujua, hua nikiangalia betri za haya magari ni betri nyingi kama za rimoti zinaungwa pamoja kutengeneza system moja, vp inapotokea moja au baadhi ya hizi betri ikafa unatakiwa kubadili dude zima? Au unatoa hii iliyokufa unabadili?